Tanzania ni moja kati ya nchi masikini Duniani kwenye kundi hilo tupo na Burundi, Sudan Kusini, Niger, Msumbiji pamoja na nchi nyingine nyingi. Nchi hizi masikini Duniani zina sifa zinazofanana ambazo ni kama vile kuwa na vita, njaa, ufisadi, miundombinu mibovu, huduma mbaya za afya,elimu duni...