wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mita za Maji - Kinondoni

    Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya Sh904,277. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa). George amefikishwa...
  2. Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  3. Halotel acheni wizi

    Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data. Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote. Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
  4. Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi. Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
  5. T

    TIGOPESA/Mixx by Yas huu ni wizi? Au kutojali wateja wenu?

    Mitandao ya simu pamoja na kurahisisha mawasiliano imekuwa njia rahisi sana ya kutumia na kupokea pesa, na kukiwa na jambo la dharula basi muamala ya simu inatoa suluhu ya haraka sana. Kwangu imekuwa tofauti, ilikuwa tarehe 22/12/2024, saa 2:38 asubuhi, nilienda kwa wakala kutoa pesa...
  6. Wizi unaofanika kwene daladala makondakta hawawatambui kwa wakati au ndo Lao moja?

    Hivi Hawa vibaka wanaotuibiaga kwenye daladala makondakta hawawatambui kwa wakati au ndo Lao moja
  7. Unaibaje?

    Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika. Kwahiyo wewe kama...
  8. Pre GE2025 Kitendo Cha CCM kupata Asilimia 99% za wizi kilitosha kumstaafisha Mbowe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
  9. R

    Yesu mwenyewe wala mitume wake hawakupewa fungu la kumi(zaka). Ninyi wahubiri wa leo mmpetoa wapi mafundisho hayo ya uongo na wizi?

    Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
  10. Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  11. Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  12. Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  13. Mwanafunzi wa MUST abuni mfumo wa kudhibiti wizi wa mitihani

    Hamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na uvujishaji wa mitihani nchini. Chanzo: Azam TV
  14. R

    Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

    habari hizi ni za kweli? Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua Sasa hivi Wanachinjana Huko' Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali...
  15. LGE2024 Baada ya kuvuga uchaguzi, Mtendaji wa Kata akimbizwa kwa kutumia gari la Serikali, Mwalimu ambako masundukù ya kura za wizi yalifichwa, atoroka

    Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA. Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana Yusufu Lukuwi (mtoto wa Kidulile), alipoona wananchi wamechachamaa, alitoa taarifa Wilayani, na...
  16. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  17. Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
  18. W

    Wizi katika Biashara za Mtandoni

    Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.? JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI 1. Mabadiliko ya namba za simu za huduma kwa mteja. Yaani kila ukiperuzi bidhaa utakuta baada ya muda...
  19. G

    CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  20. Nimeiba ama ndo zali la mentali

    Siku iko aje.... Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo). Kwa vile nliishiwa cash nikaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…