Naam, ni DP World Luanda Port.
Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic.
Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba.
Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
Unganisha Dots, utagundua Uteuzi wa Kitila Mkumbo una maana gani, taifa lilianza kutengenezwa na kuwambwa tangu tulipotangaza mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Zingati tarehe ya mkutano huu, mipango ilipikwa miaka mingi nyuma...
Kwamsiojua hawa ndio walimtengeneza Magufuli akakataa mradi...
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.
"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"
"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"
"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitila mkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali ya CCM kununua bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu, anga la nchi, special economic zones, na...
Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
Serikali bila kushirikisha wadau wa kisiasa na kiuchumi, imeamua kichwa kichwa kuingia kataba ambao sasa kiukweli unatishia mustakabalai wa nchi.
Serikali
Je, suala lilijadiliwa kwa kupata maelekezo kisiasa?
Je, serikali iliwakutanisha wadau wa kiuchumi kupata ushauri?
Je, serikali...
Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard.
Kwa mahojiano yenye umuhimu...
Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.
Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu...
Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti:
Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?!
Kwa hakika na zipigwe kavu kavu!
Heshima kwako peno hasegawa.
Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili...
Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari.
Lakini jambo...
Copy and Paste
The modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire, as well as the continued involvement of ‘post-imperial’ Britain. As David Wearing has argued, Britain’s policy has been consistently conservative—providing...
Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni.
Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
Muhtsari
Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba
Serikali ya Djibouti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.