Habari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa...
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya
Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka.
Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na...
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa!
Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu...
MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI
"Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni.
"Elimu ya dai risiti toa...
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.
Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.
Yaani kuwe na room ya makundi haya...
Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu.
Mimi binafsi
1. Shule
Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza.
2. Serikali
Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu...
Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali).
Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
A bombshell on vaccines by Robert F.Kennedy Jr.:Of the 72 Vaccines now given to American Children and some of those in other countries throughout their childhood (Video),non has ever received a long term pre-licensing rigorous safety trial to prove their long term side effects and...
Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini.
Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli.
Baba levo nilimsikia juzi akiwa...
Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua.
Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.