Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu .
soma hapo chini👎
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya...
Africa Cannot Be Left Behind in the AI Revolution
Artificial Intelligence (AI) is no longer just a buzzword or a futuristic concept reserved for the world's most developed nations. It is here, driving profound change in industries from healthcare to agriculture, reshaping societies, and...
Mzuka wanajamvi!
Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022.
Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook...
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana.
Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa.
Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇
---
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025.
Dkt. Abbasi ametoa kauli hiyo leo Novemba 26, 2024 wakati akiongea na Vyombo vya Habari mara baada ya...
Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara?
Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani.
Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani.
Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati.
stormryder
ward41
Bams
dudus
and 100...
Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
ZANZIBAR WINS PRESTIGIOUS WORLD TRAVEL AWARD AS AFRICA'S LEADING FESTIVAL AND EVENT DESTINATION 2024
Zanzibar has once again solidified its position as a leading global destination by winning a prestigious award at the World Travel Awards. This year, Zanzibar has been recognized as Africa's...
Tanzania imenyakua tuzo 4 katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards na Marekani, usiku wa kuamkia Oktoba 19, 2024.
Tuzo hizi zimetolewa jijini Nairobi nchini Kenya, huku Serengeti ikiendelea kuwa Hifadhi Bora ya Afrika kwa miaka sita mfululizo (2019, 2020, 2021, 2022, 2023, na...
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake.
Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa mahitaji yake basi he/she'll do anything bila kuangalia athari atakazo leta kwa watu wengine(selfishness)...
Hayati Alex Salmond alikuwa Waziri Mkuu wa Scotland na aliongoza kura ya maoni ya kutaka Scotland Ijitenge, kisha akawa muongoza mada kati Televisheni ya Urusi Leo / Russia Today(RT) hadi February 2022 kisha akahamia kwenye mitandao ya kijamii kwa kuandaa makala mbalimbali. Ni mwaka huu chombo...
Let us all stay tuned!
Arusha Region is an iconic Tanzania Tourist attraction City in Africa which is located about 350 kilometers to The famous Serengeti National Park.
The Regional Authority Under Paul Makonda has organized a tremendous and spectacular brand of Land Rover caravan ..a parade...
Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One.
Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini
Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki, MotoGP.
Utangulizi
MotoGP ni mashindano ya pikipiki yanayosimamiwa na kuratibiwa na Fédération...
Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio?
Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka?
By Boss la DP World aka boss la makobazi.
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.
Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war...
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.
Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.
Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.