CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali.
Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa...
Kwa hasira kali!
Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa.
Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
Habari,
Ofa ofa karibu ujipatie matairi Kwa punguzo la bei mwezi huu wa ramadhani.
Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo yote yanapatikana Kwa bei za kizalendo kabisa karibu ununue.
Kwa wale wa mikoani mzigo tunatuma Kwa uaminifu mkubwa pia Dar es salaam tunafanya delivery.call...
Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara.
Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs.
Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
Habari zenu wapendwa,
Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali Kwa bei ya punguzo la mwezi wa Ramadhani bei zetu ni nafuu kabisa .
Matairi ya brands mbalimbali na size zote yanapatikana mikoani tunatuma pia Dar es salaam, Tanzania tunafanya delivery Kwa uaminifu mkubwa.
Location Vingunguti...
Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!.
angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠
Na wengine...
Habari,
Ofa ofa karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size zote Kwa bei ya punguzo ya mwezi wa ramadhan.
Tunauza matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo zifuatazo ni baadhi ya brands ambazo zipo.
1.CENTARA
2.TRANSTONE
3.TIMAX
4.SAFERIN
5.RUADLUX
6.DOUBLECOIN
7.VALIANT...
Habari,
Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote.
Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo.
Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte.
Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine.
Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
Wakuu
Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira
1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men.
Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
Ina urefu wa Kilomita 12
Ina kituo kimoja cha polisi
Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
Ina bank moja tu
Ina hotel moja tu
Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
Airport yake hutumika kwa football pia
Karibu Tuvalu
Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM
* Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM;
Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM.
* Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana;
* Kwa msingi...
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo.
Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka
1. MacDonald Mariga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.