wote

  1. T

    Elon Musk: Ukiweka bandiko la umma (Public Post) kwenye mtandao wa X (Twitter), ni lazima wale wote uliowablock waweze kuona bandiko lako

    Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa. Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
  2. K

    Tumewachoka kwa wizi wenu wa hila

    Diwani aliyepata cheo kwa kuziendea kinyume ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, nataka atoke hadharani akanushe. Naomba machawa mwambieni. Diwani feki feki atoke hadharani, ahimize watu kufuata sheria, kisha nimpatie vidonge stahiki vya kumeza. Diwani, toka hadharani ukanushe wewe na...
  3. Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

    Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June. Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki...
  4. Pre GE2025 Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha bila kukosa, mamia kwa maelfu kupiga kura 2024 na 2025

    Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
  5. NHC: Ujenzi wote wa Nyumba za makazi na Ofisi za Umma ziwe kazi za na mali za milele ya Tanzania National Housing Corporation

    U hali gani Tanzania ! Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums. Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika ujenzi wa nyumba zote za Makazi na Majengo ya Umma hapa nchini yaani isitokee Raia yoyote afanye...
  6. N

    Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

    Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo. Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
  7. Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  8. Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  9. Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  10. Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  11. G

    Ukicheza na Israel unacheza na moto: Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wametunguliwa

    Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako anaopigiwa anaweza kujimaliza mwenyewe kwa msongo wa mawazo.
  12. Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  13. L

    Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja...
  14. Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  15. R

    Polisi mnateketeza Tanganyika yenu na watoto wenu na wajukuu wenu na uzao wote wa Tanganyika

    Mnakubali kuiingiza Tanganyika kwenye maafa wakati Zanzibar iko shwari? Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani? Tanganyika au Zanzibar?
  16. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  17. FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  18. Rais Samia Suluhu pamoja na taasisi zako za haki: Tafadhali, waache Chadema wafanye maandamano yao. Wape ulinzi, kwani wewe ni kiongozi wa wote

    Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi. Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane. -Wape ulinzi, -Hakuna kitakacho haribika -utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R -utapunguza malumbano ya kulilia haki. Baada ya Maandamano: Baaada ya Maandamano, utajitokeza na...
  19. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  20. Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…