Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani...
Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk!
Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la...
Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?
Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali...
'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂 Unamvizia rafiki yako asubui tu, "KISIKIO POO!" Kama ni jumapili, unavuta sikio lake kwa nyuma na...
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama.
Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma...
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
Salamu!
Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke.
Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC.
Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka...
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila...
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi.
Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini .
Ufanyike usajili kwenye...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao.
Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
Hi
Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china..
Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount.
Tupo Dar, Arusha na Nairobi
Jeshi la Polisi
Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu.
Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.