Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa,
1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora
2. Chifu Mkwawa- Wahehe
3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha
4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni
5.Chifu Machemba-Wayo...
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
Match Day , shirikisho
Vikosi vya leo
Simba
Constantine
MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania
kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba
24' GOOOAL M Hussein anafunga goli
Cs Constantine 0-1 Simba
29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii...
Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu.
Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga
Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto
Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana.
Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
Eti ndugu zanguni YAS?
Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online?
Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu...
Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Camara
Aishi Manula
Ayubu Lakred
Husein Abel
Ally Feruz
Ally Salim katoro
Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
Habari wadau
Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.
Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.
Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote na ikapigwa vikwazo na banks zilizokuwa zinam support mpaka bank ya...
Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki.
Ukimya na kutochukua hatua kwa:-
1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa.
2. Ubakwaji wa demokrasia wa...
Kwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa,
Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia kuchochea mageuzi na maendeleo katika mtaa au kijiji unachoishi.
Hongera kwa uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.