Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji...