Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.
Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi).
Najua wengi mtajiuliza ni nini haswa kilichofanya...
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.
Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji...
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).
Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto.
Mkaguzi huyo...
Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli..
Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani
Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table
muda huo natoka washroom naskia mitetemeko nikawa nimeangalia nikaona kwa screen message 4 what's App za...
Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita.
Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa...
Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to follow you.
Chanzo: Robert Mugabe Hilarious Quotes
Sasa kama Mkongwe kabisa Hayati Robert kamaliza...
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu.
Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi.....
Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia.
Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu.
Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali.
Huo ndio ujumbe wenyewe...
1. Kama mnavyokumbuka vurugu baada ya uchaguzi Mkuu 2007/08 zilisababisha mauaji ya watu kadhaa. Kesi ikapelekwa Mahakama ya ICC-The Hague,
2. Watuhumiwa wakiwemo - Uhuruto na wengine wakaitwa kwenye kesi - The Hague kufika kwenye mashahidi ni ama upokee mlungula na ukaushe au uharibu ushahidi...
IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake..............
Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale.
Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out
I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
Wanabodi,
Hebu shuhudia
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
1. Nyomi!.
Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!.
Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO.
"Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia.
Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako.
Siku ukiumwa au kupata matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.