wote

  1. GENTAMYCINE

    Kwanini Wahalifu wote Watukutu wakishindikana kwa Kutotoa Ushirikiano wakipelekwa Kituo cha Oysterbay hutoa Ushirikiano huo kwa dakika chache tu?

    Nasubiria Majibu yenu ya upesi kwani kuna Mtu kaniibia Kuku wangu Bandani kule Kwangu Bagamoyo Mkoani Pwani.
  2. Yoda

    Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
  3. Hismastersvoice

    NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

    Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
  4. Tukuza hospitality

    SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  5. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  6. Mr Mlokozi

    Habari njema kwa wanafunzi wote sekondari zaidi form 4 pamoja na walimu wa biology

    Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
  7. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  8. Webabu

    Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  9. VINICIOUS JR

    HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  11. BLACK MOVEMENT

    Waliohusika ufisadi report ya CAG mwaka huu walisha ombewa msamaha kwa Raisi hivyo wako huru

    Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana. Kamati...
  12. Eli Cohen

    Nyie wakuitwa manabii na mitume kwa nini wote mnakimbilia Dar? Kwani huku wilayani hakuna asiyehitaji upako wenu?

    Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why? Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc. Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar...
  13. Webabu

    Vita vya Gaza ndio vinahitimisha ukombozi wa kifikra kwa walimwengu wote.

    Uonevu,ubabe na udanganyifu pamoja na woga wa baadhi ya watu kwa binadamu wenzao ambavyo vimeoneshwa tangu mwanzo wa vita hivi hakuna shaka kutaleta mabadiliko ya maana kwa dunia nzima. Kwa nje na kwa akili za kibinadamu kuna watu wanadhani Hamas na wenzao ndani ya Palestina wameshindwa.Kiundani...
  14. Eli Cohen

    Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
  15. utukufu mwanjisi

    Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi. Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
  16. Tlaatlaah

    Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  17. Princesswaprince

    SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  18. Eli Cohen

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  19. M

    Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa anayependwa zaidi kuliko Wakuu wote wa Mikoa kwa sasa

    Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
  20. mdukuzi

    Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
Back
Top Bottom