Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa kontro na kupelekea kufanya mambo ya ajabu kisa mapenzi? Nilikua nasema sitoweza kuja kufanya huo...
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.
NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.
Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.
Nawaza...
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam
Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi...
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi.
Wenye taarifa kamili tujuzeni
==== ===
Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu.
Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote.
Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
Ubunifu katika Sekta ya Elimu kwa Uwezeshaji wa Kufikia Utoaji wa Huduma Bora kwa Jamii kwa Awamu
Ili kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtu anapata fursa sawa ya elimu bora, ninapendekeza mpango wa awamu unaojumuisha mambo yafuatayo:
Miaka 5:
• Kuboresha miundombinu ya shule: Hii...
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu...
Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini
Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako.
Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi.
Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe.
Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi...
I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more.
2. Time table aipo equal in all...
Habari mwanajukwaa la michezo,
Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana.
Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.