The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi.
Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na kutuumiza? Shame on them!
Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na kutuumiza? Shame on them!