Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1764877282736.png

Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan.

Sikumbuki kuhisi udini katika awamu zote hizo ziwe chini ya mkristo au muislam. Sikumbuki mashehe aka mashehetani au mashehena kuruhusiwa kuwa wasemaji wa serikali isiyo na dini. Ni kipindi hiki tata ambapo wameibuka kila aina wakisema mambo ya ajabu na kila aina bila kuchukuliwa hatua. Ni katika kipindi hiki nimesikia watu wazima na akili zao wakidai eti Samia anachukiwa kwa dini yake! Ebo!

Ya kweli haya au urongo na uzushi? Japo naweza kukosolewa, Kama Samia angekuwa mkristo, nisingeshangaa kuwasikia hwaa mabambataa wake wakihanikiza kuwa uislam hauruhusu mwanamke kuwa kiongozi jambo ambalo ni kweli japo kwa sasa tokana na Smaia kuwa muislam, limefutikwa chini ya busati na kufunika kombe ili mwanaharamau apite salama. Huu ndiyo udini ambao kimsingi, ni uduni tunaouona.

Hivyo, basi, kabla ya kuja na madai ya ajabu kuwa Samia anachukiwa kwa ima dini au eneo atokalo au jinsi, aje na ushahidi unaoingia akilini na siyo kutupigia kelele na kutaka kutuchonganisha kwa maslahi ovu binafsi. Sina uhakika, kama tutaumia vigezo vya kiislam, mbali na jina namazoea, kama Samia ni musilam. Hayo leo nayaacha.

Naomba kuwasilisha baba yenu.
 
Binafsi sijawahi kuwa na urafiki na watu wanaokandamiza haki za wengine. Nilimkosoa Magufuli, ninawachukia polisi, ninamkosoa pia na huyu mdini kwa sababu tu ya kuendekeza uonevu, dhuluma, na ukandamizaji wa haki za msingi dhidi ya raia.
 
Kuna uchembe ya udini hasa kanisa katoliki dhidi ya utawala wa samia
 
Hilo mbona liko wazi sana, mashetani wamedhamilia haswaaa. Lakini ondoa hofu, tuna Mungu. Najua njama yao ya kumtoa madarakani tarehe 29 ilivyofeli wanakuja na nyingine, pengine kubwa zaidi, lakini amini usiamini hiyo nayo itashindwa.
 
Mtamaliza maneno yote safari hii.

Mlivyokuwa mnaua mlidhani wale ni kuku wa shughuli?
Mtamaliza hila, fitina na visanga vyote awamu hii ya 2025/2030 lakini there she will be, strongly and peaceful, running our beautiful nation.... Tanzania.
 
Mtamaliza hila, fitina na visanga vyote awamu hii ya 2025/2030 lakini there she will be, strongly and peaceful, running our beautiful nation.... Tanzania.
Malizeni maneno yote wauaji nyie.

Mmetangaza vita na raia. Hii haiishi hadi iishe
 
Malizeni maneno yote wauaji nyie.

Mmetangaza vita na raia. Hii haiishi hadi iishe
Poa, karibu. Si si nyingi raia watawastukia niye TEC na vita itakuwa kati yetu raia na nyie TEC............na Wala haliko mbali, endeleeni tu na usungo wenu.
 
Poa, karibu. Si si nyingi raia watawastukia niye TEC na vita itakuwa kati yetu raia na nyie TEC............na Wala haliko mbali, endeleeni tu na usungo wenu.
Raia mliowaua ndugu zao na kuharibu miili yao?
 
Back
Top Bottom