Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Unamaanisha wale walipokuwa wanajeruhi, wanajua polisi, wanaharibu miundombinu inayotumiwa na jamii, wanaopora, wanapiga na kuharibu Mali za watu?!!!!Raia mliowaua ndugu zao na kuharibu miili yao?