PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kitam cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Im cost mara ngapi?

Anawakebehi walioufiwa? Anajitamba kuuwa watu, anatisha watu kuwa atawaua na kuwamaliza.


Huyu mahali pekee anapostahili akiwa hai ni ICC na kama hayupo hai ni kaburini.
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ndiyo muelewe Mwalimu alipomuita Idd Amini anakula nyama za wary! Si mmeoma sasa huyu mtasemaje! Anakunywa na damu kabisa.
 
Huo ndo ukweli na mpango uliopo chini ya kapeti atakaye anzisha maandamo ya vufugu kama ya oct kabla jesh halijamla kichwa wananchi wasamalia waanza naye kwanza...kwahyo furugu hatutaki.
 
Back
Top Bottom