PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
Nakuhakikishia sisi pia tuko vizuri hat wewe huna uhakika wabaki salama .
Uhakik wa wewe kufa au kusalimika ni 50/50

tukutane tarehe 09.12.2025
Njooni siku yeyote serikali tumejipanga!
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
TANZANIA WILL ALWAYS BE A PEACEFUL COUNTRY. WELL SAID MADAM PRESIDENT. #tanzania #siasa
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Kwani hujui kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?
 
Sawa utatuletea majibu baada ya kudunguliwa ukiwa na panga lako mkononi. Na bahati mbaya utaitwa gaidi na hao hao unaowatetea.
hatutetei zaidi ya kulinda mali zetu mtatuzoea mali mlizochukua zina tosha..iwe nyie au yeyote atakae anzisha maandamano ya wizi tunaanza naye hata akiwa mtumishi wa serikali.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii nimeipenda,kunamapori ya kutosha drc Kongo, kwanini tusianzishe jeshi huko,na tukaomba wafadhili??
 
Wajuba ujumbe ndio huo, kama hamtaki kufa kindezi D9 nendeni kwenye mishe zenu, msiende kuandamana mtaangamizwa, majeshi yamejipanga!
Angalau leo umenena yalo mema😁😁😁
 
hatutetei zaidi ya kulinda mali zetu mtatuzoea mali mlizochukua zina tosha..iwe nyie au yeyote atakae anzisha maandamano ya wizi tunaanza naye hata akiwa mtumishi wa serikali.
Sawa mkuu naona hujakutana na hasira za Gen Z au ulidhani hadi polisi kubadili nguo na kukimbia walipenda? We jichanganye tu na wananchi wenye hasira kali utagundua mali zako si chochote sio lolote kuliko uhai wako.

Bahati mbaya zaidi Gen z hawawezi kukudhuru maana hawaui wale ila Polisi wakikudaka haijalishi unalinda duka au geti lako wanakupiga risasi.

So utachagua mwenyewe
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan anajibishana na Bi Mange Kimambi?

Hajui kuwa kuna waTanzania wazalendo waliopo hapa hapa ambao angetakiwa ajue ndio watakao mwondoa kwenye madaraka ya kung'ang'aniza?

Mange Kimambi hana uwezo wa kuamrisha hawa waTanzania wafanye nini katika kutafuta ukombozi wa nchi yao.
 
Samia wamshauri aache kuhutubia mpaka hizo hasira zake zitulie.Huwezi kuwa Rais unahamaki vile, kuhamaki ni dalili ya guilty,mtu safi huwa na amani.
Rais unahamaki vile..sasa na hao mawaziri watajifunza nini?Kimtokacho mtu ndichp kilicho ndani yake; ndani mwake ana hasira sana:
1.Za kuona hakubaliki
2.Anahisi anaonewa na TEC etc.
3.Anahisi kudharaulika.

Kingine inaonekana anaingia sana mitandaoni - AACHE kama hana roho ngumu kama Mzee wa Msoga.....la sivyo atakuwa anaandaa press kutukanana na watu wa mtandaoni.

Kazi anayo, asipochanganyikiwa,atachizi kabisa, sio kwa kuhamaki kule
 
Wajuba ujumbe ndio huo, kama hamtaki kufa kindezi D9 nendeni kwenye mishe zenu, msiende kuandamana mtaangamizwa, majeshi yamejipanga!
Kwa sasa hata ukiangalia hayo maandamano yataanzia wapi, sio kama D29 sababu hawakutilia maanani kama kweli watui watakusanyika na kuanza kuandamana, maana maeneo yote ya kimara na mbezi kumetanda polisi na wajeshi, sijui wataanzia wapi kujikusanya?
Na maeneo mengine hakuna hata sehemu yoyote Dar itakayoweza kufanikisha mkusanyiko, wakionekana watu zaidi ya 10 sehemu moja, wamekwisha....
Hii ndio ile unajikuta uko peke yako mtaani na kibegi chako.....
Watu kwanza hawataka kufingiwa ndani na kukosa kufanya biashara zao na pia kuzimiwa mitandao, kipindi hiki watadhibitiwa sana, yetu macho......
 
Samia wamshauri aache kuhutubia mpaka hizo hasira zake zitulie.Huwezi kuwa Rais unahamaki vile, kuhamaki ni dalili ya guilty,mtu safi huwa na amani.
Rais unahamaki vile..sasa na hao mawaziri watajifunza nini?Kimtokacho mtu ndichp kilicho ndani yake; ndani mwake ana hasira sana:
1.Za kuona hakubaliki
2.Anahisi anaonewa na TEC etc.
3.Anahisi kudharaulika.

Kingine inaonekana anaingia sana mitandaoni - AACHE kama hana roho ngumu kama Mzee wa Msoga.....la sivyo atakuwa anaandaa press kutukanana na watu wa mtandaoni.

Kazi anayo, asipochanganyikiwa,atachizi kabisa, sio kwa kuhamaki kule
Hashauriki yule.
 
Im cost mara ngapi?

Anawakebehi walioufiwa? Anajitamba kuuwa watu, anatisha watu kuwa atawaua na kuwamaliza.


Huyu mahali pekee anapostahili akiwa hai ni ICC na kama hayupo hai ni kaburini.
Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera
 
Back
Top Bottom