- Thread starter
- #81
Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa.Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera
Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa.Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera
Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia.Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa.
Unaitwa huku tuliwaambia hii ngoma sio ya kitoto wamekuwa wadogo kama pritoni hakuna cha nywinywi wala nyenye.Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia.
Tulia. Utamkataa muda si mrefu. Arrest Warrant inasukwa vizuri sanaVipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera
Ngoja suprise! tutawapokea wageni jinsi watakavyokujaMshaambiwa jaribuni muone moto, tuilinde amani yetu