PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtu mzima hatishiwi nyau hata before Dec alisema hkn nywinywi ila kikawaka temu hii gen- z wabadili strategies wawe wanapiga kisha wanapotea
 
Nyie GN Z na akili zenu za Kimambi na uyo Mzee wa TEC mlisha Anza kuhisi hakuna Serikali.
Sasa mmeshauriwa mchague mda na saa mtayo ona mko poa mu ipindue serikali yake kama mnavyo fikiria.

Mki pima na kuona hamuezi mje muungane na Wananchi Twendeni kwenye Katiba mpya.
 
Binafsi Napenda kutoa Rai kwa Gen Z wenzangu. Huyu Bibi hana cha kupoteza na tumeona anavyotamba leo kwamba wanatusubiri kwa hamu kwahiyo na sisi tuwe na mikakati maalum sio twende tuu kama nyumbu lazima tutumie akili otherwise yatatokea mara mbili ya yaliyotokea na Hakuna Atakayejali. Hao wazee aliowaita wameshajichokea anawapiga mikwara tu mia mia mbili hawana wanasubiri kujifia tu unategemea wafanye mabadiliko gani ya kilichotokea. Taifa ni vijana muda utaongea
 
Samia usihishie kufikiria watakuja wananchi tu ambao hawana silaha unaweza kushangaa unawavuta magaidi na waasi huko.
 
Haya mambo ya kutunishiana misuli hayana afya kwa taifa, busara na hekima ingetumika tu kuliko kutangaziana ubabe
Muda wa busara na hekima umeisha,kuleta hekima mbele ya wapumbavu ni upumbavu kuliko hao wapumbavu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Asilimia kubwa ya majeshi yetu yana njaa sana .Siyo rahisi yakamgeuka kwasababu ya jesuri ya fedha.

KUna haja wananchi kuwa na jeshi letu la msituni
Uko ndio usikimbilie, hutopigwa na SMG uko uta tandikwa na Mizinga na Mota.
Unge uliza wale wasomali walio muua DC wa loliondo Nini kilitokea au Ao vijana waliokuja wakitamba apo Kibiti na kwenye Mpango ya Amboni kule Tanga.

Tanzania Bado wananchi tunayo fursa ya kuongea na Serikali , Tuisitumie Nguvu kutaka kuipindua serikali matokeo yake ni Mabaya sana.
 
Mshaambiwa jaribuni muone moto, tuilinde amani yetu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
LEO NDO KAONGEA VIZURI NA KWELI INABIDI SASAHIVI POLISI WAKICHELEWA TU HATA ROBO SAA KUANZA KUFYATUA RISASI WAFUKUZWE KAZI NA WAHUKUMIWE KIFO KWA UHAINI MAANA TAREHE 29 WALE VIBAKA WANGEPIGWA RISASI MCHANA ULE ULE VURUGU ISINGEENDELEA MPAKA 31ST
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa uhalisia ni kuwa watu watakuwa magaidi
 
Nyie mbona mnakuala pesa za kupakiwa kwenye malori wakati wa kampeni na hatuwaonei wivu?

Kwani nikipigwa risasi ya kichwa wewe inakuuma nini?

Kwani anayekufa ni mimi au wewe?

Kaka Mimi nikutakie Kila la kheri.
 
Magufuli alisingiziwa mengi sana ndio maana yanaendelea hadi leo licha ya kuwa ameshalala.
 
Marekani si alisema mnaweza kuanza tarehe 5 nyie njooni hata kesho mtatukuta, na safari hii mtaenda kuwasimulia vizuri shangazi zenu!!
RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
Nakuhakikishia sisi pia tuko vizuri hat wewe huna uhakika wabaki salama .
Uhakik wa wewe kufa au kusalimika ni 50/50

tukutane tarehe 09.12.2025
 
Back
Top Bottom