PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huo ndo ukweli na mpango uliopo chini ya kapeti atakaye anzisha maandamo ya vufugu kama ya oct kabla jesh halijamla kichwa wananchi wasamalia waanza naye kwanza...kwahyo furugu hatutaki.
Bahati mbaya mkienda kuzuia ndio mtaliwa kichwa na hao hao polisi. Segerea walifanya hivyo kulinda duka ila wakapigwa risasi wote 8
 
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.

Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.

Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.

Nendeni mkapige za vichwa...si mmeshakula hela za wafadhili wenu Ford Foundation shirika linalolamikiwa kuleta vurugu na machafuko barani Afrika
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Samia tuko tayari kupoteza maisha yetu ambayo SI kitu kama hakuna HAKI, lazima HAKI ipiganiwe Kwa gharama yoyote Ile .
Tutakabiliana na wewe Kwa njia zote mpaka tukushinde Ili HAKI irejee
Tunatambua kuwa Wewe ndiwe adui namba moja wa Watanganyika Kwa Sasa.
Anguko lako limebeba uzazi wa HAKI na matumaini mapya ya Taifa.
Unaanguka wewe mama.
 
Wajuba ujumbe ndio huo, kama hamtaki kufa kindezi D9 nendeni kwenye mishe zenu, msiende kuandamana mtaangamizwa, majeshi yamejipanga!
Kufa kila mtu atakufa hata yeye anaweza kufa au hata kuuawa ubaya ni mjinga kupitiliza hivyo hata historia hazijui
 
Tunakuja 9D.

Save the date.

Mkitoka mnaenda kula za vichwa si mmeshapokea fedha za wafadhili wenu Ford Foundation shirika linalolamikiwa kuleta vurugu na machafuko barani Afrika
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkitoka mnaenda kula za vichwa si mmeshapokea fedha za wafadhili wenu Ford Foundation shirika linalolamikiwa kuleta vurugu na machafuko barani Afrika
Nyie mbona mnakuala pesa za kupakiwa kwenye malori wakati wa kampeni na hatuwaonei wivu?

Kwani nikipigwa risasi ya kichwa wewe inakuuma nini?

Kwani anayekufa ni mimi au wewe?
 
Huwa hajui nini cha kuzungumza na wakati wa kuzungumza, hii ni weakness yake ila leo kazungumza kama RAIS.
 
Back
Top Bottom