Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana zinajirudia rudia tu kuanzia visa mpk wahusika.
Hv kuna tofauti gani Kati ya Ertugurul, The Othoman...
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko, hatulali.
Wapo kama watatu hivi sijui ni matapeli wa mitandao mm sielew, mda wote...
Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa...
Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo
Abby skills kwao mtaa wa kipata
Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue - Mimi Na Wewe pia kuimba na Ally Kiba, Baadae akamleta Diamond mitaa hio kwa Bob junior ambae kwao...
Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul
Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024 leo 15 April 2024 mbele ya jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Manyara, kuhusu shambulio la...
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli.
Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara.
Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara.
Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa
=====
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo.
Wanaume wengi hujikuta...
Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia.
Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia
Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu
Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
Salaam wana JF,
Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote.
Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .
Hii hapa ndio Taarifa yake
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....
Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa.
Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.