Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

Jiulize wewe siyo chawa?

Kama unataka kumdhuru mtu siyo kwa sababu amekukosea (kama mafisadi na viongozi wadhalimu wanavyotufanyia) bali kwa sababu hajakubaliana na hoja zako, basi wala hupishani naye sana - wewe pia ni chawa!
 
Jiulize wewe siyo chawa?

Kama unataka kumdhuru mtu siyo kwa sababu amekukosea (kama mafisadi na viongozi wadhalimu) bali kwa sababu hajakubaliana na wewe hoja zako, basi wala hupishani naye sana - wewe ni chawa pia!
Tulia uone power ni nini
 
Jiulize wewe siyo chawa?

Kama unataka kumdhuru mtu siyo kwa sababu amekukosea (kama mafisadi na viongozi wadhalimu) bali kwa sababu hajakubaliana na wewe hoja zako, basi wala hupishani naye sana - wewe pia ni chawa!
Hata wewe ni chawa tukikujua tunakuja kukusalimia
 
Hata wewe ni chawa tukikujua tunakuja kukusalimia
Karibu, nimetulia nyumbani nakusubiri!
giphy.gif
 
Back
Top Bottom