GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.

Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo Bwana Wetu"
 
Wapumzike kwa amani aisee
 
Wapumzike kwa amani ndugu zetu 🙏🙏
 
Bendera nusu mlingoti itapepea moyoni mwetu.

Wale wanaouza utu kwa sahani ya wali wakae pembeni.
 
Wote kenge tu walienda kufanya nini hukoo? Wanafiki wakubwaa.
 
Novemba 3, 2025 Wakati wa sherehe za uapisho wa Rais Samia Suluhu Hassan leo katika Viwanja vya Kijeshi vya Dodoma, Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa ujumbe wa faraja, maombi na matumaini kwa taifa, likiwaombea wote waliopoteza maisha au kuathirika kutokana na vurugu za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

Akisoma ujumbe rasmi wa maombi kwa niaba ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Felix Mshobozi alisema:

“Ee Mwenyezi Mungu, tunawaombea wote waliopoteza maisha yao wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2025, uwapokee kwako mbinguni. Pia wale wote walioumia au kupoteza mali zao, wapone haraka. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu.”

Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.

Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo Bwana Wetu"
 
Kanisa Katoliki kupeleka mwakilishi ambaye ni Padre, badala ya Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya (ambaye ndiye mwenyeji), au Kardinali Protas Rugambwa! Au rais wa TEC Wolfgang Pisa! Au Katibu mkkuu mtendaji wa TEC Padre Dr. Charles Kitima; hakika nl funzo tosha sana kwa watawala (kama tu wana akili timamu)

Maana hapo kimsingi ni kama hawajashiriki kuhalalisha huo uharamia! Na hata sala ya Padre ilionekana wazi haikuwa na nia ya kumuombea mtu aliyshinda uchaguzi kwa hila (kama alivyofanya Mufti), isipokuwa kuwaombea marehemu wote waliolipambania Taifa lao kutoka kwa wakoloni weusi.
 
Back
Top Bottom