GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Maandamano.jpg

D2.jpg

 
Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.

Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
 
Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.

Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Yeye mwenyewe yuko marekani mbona hakuja kukaa mstari wa mbele
 
Ila wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?

Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?

Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
 
Back
Top Bottom