Mimi ni me tikiiiiiii
Mimi ni me tikiiiiiii
Ni manyumbu kweli na sasa yameufyataNyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.
Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Kumi tena kwa SamiaNdiyo awamu aliyokuwepo ilikua kamshikilia john pombe yeye awamu yake ndio kwanza anaianza kmme mtaisoma namba machogo 😂
Tulijua kuwa mtakuja na slogan hiziNyie si wajinga. Mlitarajii kweli watu wataandamana?
Sasa Polisi ndio wakawapigie kura.
Mshabadili lughaNyie si wajinga. Mlitarajii kweli watu wataandamana?
Sasa Polisi ndio wakawapigie kura.
Upo barabara Gani mbona huonekani mzee🤣🤣🤣🤣Nyie si wajinga. Mlitarajii kweli watu wataandamana?
Sasa Polisi ndio wakawapigie kura.
Hahaha 😂😂😂😂😂Mimi nipo hapa magetoni nafuatilia kwa ukaribu sana jinsi gen z wanavyochukua nchiView attachment 3495525
Yaani mpaka mkakodi na majeshi ! Wajinga sana nyie!Mshabadili lugha
Kwani huwa anaomba?2030 ana omba awamu ya pili hii si awamu yake ya kwanza
Madaraka bila akili ni uduwanzi.Upo barabara Gani mbona huonekani mzee🤣🤣🤣🤣
Na wakatihuohuo hakuna mtanganyika anaeruhusiwa kuwa hata mkuu wa wilaya huko Zanzibar?.Na akitoka mama raisi tunamueka abdul wazanzibari hatutaki usnge