GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mmiliki wa mabasi ya Esther ni nani?

Wewe ulitumia kigezo gani kusema mwigulu?
1. Joseph Didas Ngeleuya ambaye yuko kwenye card za ownerahip hana historia ya kuwa na fedha
2.Mkewe Lameck anaitwa Esther
3.Alipokufa mkwewe mabasi yalibeba waombolezaji free of charge kutoka Dar- Rombo- Dar
 
Kumbe waandamanaji walikuwa sahihi kuyapelekea moto.

Mabasi kayapta kwa njia za kfisadi kama ambavyo ubunge wake aliupata kwa njia za kihuni na kimafia.
 
Hiyo ni anarchy ambayo kwenye civilised society haipaswi kuwapo
 
Za
Ila wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?

Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?

Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Za kazi kaka?
 
Hadi wewe?
 
Hiyo ni anarchy ambayo kwenye civilised society haipaswi kuwapo
Kwahiyo wewe ulitaka mwigulu atumbuliwe kisha asichukuliwe hatua yoyote.

Hiyo civilized society unayoisema inaruhusu watu kuwa mafisadi?

Kama hairuhusu unaweza niambia fisadi anachukuliwa hatua gani hapa TZ?
 
Two wrongs don't make one right
 
Back
Top Bottom