Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Because iam a great genius of all the timeGenius don't call themselves genius,
They are crowned.
Because iam a great genius of all the timeGenius don't call themselves genius,
They are crowned.
We nguruw..e pori ile ni AI hakuna vandalism yoyote iliyofanyika... ni vipande kwenye movie ya Sobibo wameviunganisha..Ni mali gani ya fisadi iliyochomwa? Mbona unatumia makalio kuchangia hoja?? Uki endorse ile vandalism then risasi zilikuwa halali yao
Fisadi Mwigulu ambaye hata wewe unamtambua kama fisadi na ulitka mama amtumbue.Ni mali gani ya fisadi iliyochomwa?
The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,Because iam a great genius of all the time
Wewe lazima mabeberu wanakutamani unaongea kingereza kama mke wao😁😁The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
Wewe lazima mabeberu wanakutamani unaongea kingereza kama mke wao😁😁The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
Wewe lazima mabeberu wanakutamani unaongea kingereza kama mke wao😁😁The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
Chambuzi flani la Mchongo linachambua kwa mihemko kabla hata siku ya tareh 29 haijafika mchana, papara kama batamajiMpo salama!
Kwa waliopo Dar hii haijawahi kutokea. Hata siku ya jumapili haiwagi hivi. Barabara ni nyeupe sana sijapata kuona. Fikiria Morogoro road unaweza ukavuka barabara ukiwa umefumba macho. Barabara ambayo kwa hapa Tanzania ndio iko busy 24/7 kwa siku zingine kwani ndio barabara lango la mji wa Darisalama.
Daladala zipo moja moja yaani kila baada ya dakika kumi hivi wakati siku nyingine hapakaliki.
Siku ya leo kama Lisu akichukuliwa akawekwa ndani ya gari siri ya nyuma. Ili aonyeshwe hali ilivyo hakika ataumia kuliko alivyopigwa risasi au kuliko alivyowahi kupata maumivu wakati wowote katika maisha yake.
Hata Polisi, Askari na serikali hawajategemea mambo yawe rahisi kiasi hiki. Wenyewe hawaamini kama Watu wangeweza kuwasaliti wengine kwa kiwango hiki. Hii ndio tafsiri ya Usaliti.
Kwenye maisha yako. Hakuna jambo baya kama kutetea watu wajinga na maskini wasiokuwa tayari kutetewa.
Kwa hizi barabara zilivyo unaanzia wapi kuandamana. Ni nyeupe ajabu. Nilitokea Kimara mpaka ubungo kweupe kuna doria za hapa na pale za askari.
Nimeenda njia ya Mwenge, kisha makumbusho, nimerudi Magomeni mpaka mjini, posta kumepoa. Aiseeh!
Yaani hapa ukibeba bango lako hata askari wenyewe watakucheka sana. Barabara zimekumeza. Unakuwa kioja na kituko.
Nimehoji baadhi ya askari huku kwenye doria kutaka maoni yao kuhusu hali ilivyo wenyewe wanashangaa sana. Wanasema hata kama ni uoga sio wa kiwango hiki. Ni uoga uliopitiliza sana.
Zaidi wanasema wanajisikia uchungu kwa taifa kupata aibu kwa wananchi wake kushindwa hata kujitokeza walau pawe busy na vyombo vya kimataifa vipate kazi ya kufanya.
Upande wa wapiga kura hali yao bado ni mapema kueleza situation ilivyo. Ila baadhi ya watu niliokutana nao asubuhi hii ni kama wanategeana.
Hawaelewi kama watapiga kura au hawatapiga.
Kwa ujumla siku ya leo;
1. Serikali imeshinda, vyombo vya usalama, Dola vimeshinda kwenye hii vita.
Inaweza kuonekana ni jambo rahisi lakini wamejitahidi pakubwa.
Ubao unasoma 2-0 dakika bado ni zamapema.
2. Waandamanaji sio tuu wapo nyuma kwa bao moja lakini pia kimchezo wamezidiwa. Uwanja umeinama.
Hawachezi kama timu. Timu yao imevurugwa na kuvunjwa vunjwa.
3. Kuna uwezekano leo asipigwe hata mtu mmoja. Yaani kusiwe na fujo ya aina yoyotem yaani hata rungu moja hutosikia.
4. Wapiga kura watakuwa wachache sana. Kwa hali Ilivyo.
Ingawaje hii haiwathiri upande wa serikali. Wao lengo lao siku ya leo ipite salama. Pili watakaojitokeza hata kama ni elfu moja haohao watatumika kueleza kwa kulikuwa na uchaguzi.
5. Baada ya siku ya leo nini kitatokea?
a) Waandamanaji watakuwa wamekatishwa tamaa na watakuwa wamepata aibu kubwa ambayo sijui kama itaisha hivi karibuni.
b) Waliokuwa vinara mtandaoni watakasakwa wiki za mwanzoni za mwezi November kisha serikali itaachana na mambo ya uchaguzi kwani hang over na tension ya uchaguzi itakuwa imeisha.
So ni vizuri kama ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wiki hizi mbili ujitahidi sana kujificha. Ukifanikiwa basi utakuwa umeokoka.
c) Matusi mitandaoni yatarudi tena kutukana sasa waandamanaji kwa kuwa waoga na kunguru. Kenya watatukana Sana watanzania.
d) Maridhiano ya kitaifa kufanyika na wale waliokamatwa kwa sababu za kisiasa na kiuchaguzi kuachiliwa.
e) Kusafisha baadhi ya taasisi za dini na kuunda sheria mpya zitakazobana taasisi za dini kujihusisha na siasa.
f) Influencers wa mitandaoni kubanwa zaidi na kuwekewa sheria za kitaaluma, na kimaudhui na kikodi.
Kwamba bila kiwango fulani cha taaluma kuna mambo haupaswi kuyajadili mitandaoni kama muanzisha maudhui na influencer.
Ila ku-post mambo personal kama picha zako utapewa uhuru.
g) Bado vuguvugu la waliotekwa, kuuawa na kupotezwa litaendelea kusakama huku kelele za wanaharakati mmojammoja wakiwa wanajitahidi kukumbushia.
h) serikali muda huo itafanya jitihada kuwasahaulisha watu habari hizo na mambo ya kukamatana kamatana baada ya mwezi mmoja kuelekea 2026 yatapotea. Jambo ambalo litafanya wale wanaharakati wanaokumbushia utekaji n mauaji kuchokwa na watu kama sio kupuuzwa.
I) mwaka 2026 utakuwa mwaka wa kitofauti sana.
J) Lisu atakuwa ameachiwa lakini atakuwa amekata tamaa. Sio kwa sababu ya kunyoroshwa na Serikali bali kutokana na Wale anaowapigania kumnyorosha, kumsaliti na kumtelekeza.
Poleni wote. Hayo ndio maisha.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Chambuzi la bei ya jioni.Chambuzi flani la Mchongo linachambua kwa mihemko kabla hata siku ya tareh 29 haijafika mchana, papara kama batamaji
Wewe bwege unahamasisha watoto wa wenzio tu wale mabwege waingie front, wewe kazi yako ni kuchungulia JF tuWe nguruw..e pori ile ni AI hakuna vandalism yoyote iliyofanyika... ni vipande kwenye movie ya Sobibo wameviunganisha..
Bado kuchoma mali siyo suluhisho, kuna athari zake kiuchumi kama kupunguza bidhaa/ huduma, kuondoa ajira na kupoteza mapato in terms of kodi ambazo mabasi yalikuwa yanachangiaFisadi Mwigulu ambaye hata wewe unamtambua kama fisadi na ulitka mama amtumbue.
View attachment 3504464
zitto junior
The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
Huyu fisadi mwigulu uliyetaka mama ako amtumbue sasa hivi kapewa uwaziri mkuu.Bado kuchoma mali siyo suluhisho, kuna athari zake kiuchumi kama kupunguza bidhaa/ huduma, kuondoa ajira na kupoteza mapato in terms of kodi ambazo mabasi yalikuwa yanachangia
We Mjinga, kuna fisadi yoyote ambaye mali yake imeandikwa kwa majina yake? Tumia akili, watu sio wajinga kama wewe.Ni mali gani ya fisadi iliyochomwa? Mbona unatumia makalio kuchangia hoja?? Uki endorse ile vandalism then risasi zilikuwa halali yao
Sielewi vigezo alivyotumia kumpa Uwaziri Mkuu, lakini kwa kuwa nje ya hazina yetu ni jambo boraHuyu fisadi mwigulu uliyetaka mama ako amtumbue sasa hivi kapewa uwaziri mkuu.
Unaliongeleaje ili jambo?
Wewe unatumia kigezo gani kuwa mali fulani ni ya mtu X?? Yaani mazungumzo ya vijiweni ndiyo mnatumia kufilisi mali za watu?We Mjinga, kuna fisadi yoyote ambaye mali yake imeandikwa kwa majina yake? Tumia akili, watu sio wajinga kama wewe.
We Mjinga, unaishi zama zipi? Hao hao watu wa BRELA ndio wanaovujisha umiliki wa mali za mafisadi, nimekuambia watu sio wajinga kama wewe.Wewe unatumia kigezo gani kuwa mali fulani ni ya mtu X?? Yaani mazungumzo ya vijiweni ndiyo mnatumia kufilisi mali za watu?
At most mngekwenda BRELA mkaangalia kwenye nyaraka kwanza.
Kwa mfano hiyo LAKE OIL vituo vingi ni mali za watu binafsi ila wanatumia trade mark na kuuza products za Lake Oil.
Naye mmiliki wa Lake Oil siyo Ridhiwani Kikwette kama mnavyoaminishwa bali ni Ally Elly Awadh
Mmiliki wa mabasi ya Esther ni nani?Wewe unatumia kigezo gani kuwa mali fulani ni ya mtu X?? Yaani mazungumzo ya vijiweni ndiyo mnatumia kufilisi mali za watu?
At most mngekwenda BRELA mkaangalia kwenye nyaraka kwanza.
Kwa mfano hiyo LAKE OIL vituo vingi ni mali za watu binafsi ila wanatumia trade mark na kuuza products za Lake Oil.
Naye mmiliki wa Lake Oil siyo Ridhiwani Kikwette kama mnavyoaminishwa bali ni Ally Elly Awadh
Wewe ni mpumbavu. Taarifa za BRELA hazihitaji kuvujishwa. Kisheria mtu yeyote ana haki ya ku search ownership ya kampuni yeyote iliyosajiliwa na BRELA alimradi alipie searching fee. Kwa sasa searching fee ni Tsh 60,000/=We Mjinga, unaishi zama zipi? Hao hao watu wa BRELA ndio wanaovujisha umiliki wa mali za mafisadi, nimekuambia watu sio wajinga kama wewe.