GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Anatamani aifute hii post, sema ameshasahau kama aliiweka. Jamaa ni mnafiki sana.
Mkuu kwenye tasnia ya unafiki hakuna kitu kigumu kama kuu-maintain huo unafiki na kuwa na accuracy ya huo unafiki... Na siku zote mnafiki yoyote anakuwaga na akili ndogo so kuuhifadhi huo unafiki ili aje autumie siku nyingine hapo ndo tatizo linapokuja.... Leo atasema hivi then kesho atasema vile kutokana na mazingira ya issue yenyewe...

Huyo mbw..a inayeitwa Luche sometime huwa anachanganya I'd zake.... Kwenye I'd inayoitwa Luche ndo anapanik muda wote maana watu wamemshtukia.... Members wanajua ile ni I'd ya chawa flani aliyechanganyikiwa alafu pia ni shoga.

Sasa huyu Mbwa..a mwingine anayeitwa Scouser hv karibuni wiki mbili baada ya maandamano kuna namna flani anajidai ni mwanaharakat, kuna namna flani ana-present mada zake watu walianza kumshtukia...

Wamefukunyua uzi wake kumbe ni snitch, just imagine mtu anasema "waandamanaji kwisha habari yao" yaani anatumia nafsi ya tatu ina maana yeye sio part ya hao waandamanaji na hawaungi mkono, mtu unayemuunga mkono haiwezekani afeli kwenye jambo lake umwambie "kwisha habari yako. Hiyo statement inajieleza kwamba umefurahi mission kushindwa.

Scouser fckr you btch..
 
Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.

Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Kuweka akiba ya maneno ni jambo la kila mwenye utimamu wa akili kulizingatia.
 
Mpo salama!

Kwa waliopo Dar hii haijawahi kutokea. Hata siku ya jumapili haiwagi hivi. Barabara ni nyeupe sana sijapata kuona. Fikiria Morogoro road unaweza ukavuka barabara ukiwa umefumba macho. Barabara ambayo kwa hapa Tanzania ndio iko busy 24/7 kwa siku zingine kwani ndio barabara lango la mji wa Darisalama.

Daladala zipo moja moja yaani kila baada ya dakika kumi hivi wakati siku nyingine hapakaliki.

Siku ya leo kama Lisu akichukuliwa akawekwa ndani ya gari siri ya nyuma. Ili aonyeshwe hali ilivyo hakika ataumia kuliko alivyopigwa risasi au kuliko alivyowahi kupata maumivu wakati wowote katika maisha yake.

Hata Polisi, Askari na serikali hawajategemea mambo yawe rahisi kiasi hiki. Wenyewe hawaamini kama Watu wangeweza kuwasaliti wengine kwa kiwango hiki. Hii ndio tafsiri ya Usaliti.

Kwenye maisha yako. Hakuna jambo baya kama kutetea watu wajinga na maskini wasiokuwa tayari kutetewa.

Kwa hizi barabara zilivyo unaanzia wapi kuandamana. Ni nyeupe ajabu. Nilitokea Kimara mpaka ubungo kweupe kuna doria za hapa na pale za askari.
Nimeenda njia ya Mwenge, kisha makumbusho, nimerudi Magomeni mpaka mjini, posta kumepoa. Aiseeh!

Yaani hapa ukibeba bango lako hata askari wenyewe watakucheka sana. Barabara zimekumeza. Unakuwa kioja na kituko.

Nimehoji baadhi ya askari huku kwenye doria kutaka maoni yao kuhusu hali ilivyo wenyewe wanashangaa sana. Wanasema hata kama ni uoga sio wa kiwango hiki. Ni uoga uliopitiliza sana.

Zaidi wanasema wanajisikia uchungu kwa taifa kupata aibu kwa wananchi wake kushindwa hata kujitokeza walau pawe busy na vyombo vya kimataifa vipate kazi ya kufanya.

Upande wa wapiga kura hali yao bado ni mapema kueleza situation ilivyo. Ila baadhi ya watu niliokutana nao asubuhi hii ni kama wanategeana.
Hawaelewi kama watapiga kura au hawatapiga.

Kwa ujumla siku ya leo;

1. Serikali imeshinda, vyombo vya usalama, Dola vimeshinda kwenye hii vita.
Inaweza kuonekana ni jambo rahisi lakini wamejitahidi pakubwa.
Ubao unasoma 2-0 dakika bado ni zamapema.

2. Waandamanaji sio tuu wapo nyuma kwa bao moja lakini pia kimchezo wamezidiwa. Uwanja umeinama.
Hawachezi kama timu. Timu yao imevurugwa na kuvunjwa vunjwa.

3. Kuna uwezekano leo asipigwe hata mtu mmoja. Yaani kusiwe na fujo ya aina yoyotem yaani hata rungu moja hutosikia.

4. Wapiga kura watakuwa wachache sana. Kwa hali Ilivyo.
Ingawaje hii haiwathiri upande wa serikali. Wao lengo lao siku ya leo ipite salama. Pili watakaojitokeza hata kama ni elfu moja haohao watatumika kueleza kwa kulikuwa na uchaguzi.

5. Baada ya siku ya leo nini kitatokea?
a) Waandamanaji watakuwa wamekatishwa tamaa na watakuwa wamepata aibu kubwa ambayo sijui kama itaisha hivi karibuni.

b) Waliokuwa vinara mtandaoni watakasakwa wiki za mwanzoni za mwezi November kisha serikali itaachana na mambo ya uchaguzi kwani hang over na tension ya uchaguzi itakuwa imeisha.
So ni vizuri kama ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wiki hizi mbili ujitahidi sana kujificha. Ukifanikiwa basi utakuwa umeokoka.

c) Matusi mitandaoni yatarudi tena kutukana sasa waandamanaji kwa kuwa waoga na kunguru. Kenya watatukana Sana watanzania.

d) Maridhiano ya kitaifa kufanyika na wale waliokamatwa kwa sababu za kisiasa na kiuchaguzi kuachiliwa.

e) Kusafisha baadhi ya taasisi za dini na kuunda sheria mpya zitakazobana taasisi za dini kujihusisha na siasa.

f) Influencers wa mitandaoni kubanwa zaidi na kuwekewa sheria za kitaaluma, na kimaudhui na kikodi.
Kwamba bila kiwango fulani cha taaluma kuna mambo haupaswi kuyajadili mitandaoni kama muanzisha maudhui na influencer.
Ila ku-post mambo personal kama picha zako utapewa uhuru.

g) Bado vuguvugu la waliotekwa, kuuawa na kupotezwa litaendelea kusakama huku kelele za wanaharakati mmojammoja wakiwa wanajitahidi kukumbushia.

h) serikali muda huo itafanya jitihada kuwasahaulisha watu habari hizo na mambo ya kukamatana kamatana baada ya mwezi mmoja kuelekea 2026 yatapotea. Jambo ambalo litafanya wale wanaharakati wanaokumbushia utekaji n mauaji kuchokwa na watu kama sio kupuuzwa.

I) mwaka 2026 utakuwa mwaka wa kitofauti sana.

J) Lisu atakuwa ameachiwa lakini atakuwa amekata tamaa. Sio kwa sababu ya kunyoroshwa na Serikali bali kutokana na Wale anaowapigania kumnyorosha, kumsaliti na kumtelekeza.

Poleni wote. Hayo ndio maisha.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hapa ulionyesha rangi zako zote bila chenga.
 
Na ingeshangaza kama yangefanyika hata watu miambili kutoka.

Niliandika hapa kuna watu wamehujumi maandamano hasa kina Mange nikatukanwa.
Nilichogundua nyuzi zako nyingi pamoja na comments huwa unazitoa kwa mhemko sana, uwezo wa kusoma nyakati na matokeo yake yatakavyo kuwa hauna kabisa.
 
Screenshot_20251119-140953~2.png
 
Sahihi
 
Tanzania ni moja ya nchi zenye mifumo imara sana msifananishe na state/Nchi ambazo zilishaanguka kama za west hata Kenya uonevu wanaoupata kutoka kwa Al shabab ni wazi wana Jeshi legelege sana. Tanzania siyo ya kuchezea hali ni shwari sana nimetoka kwangu naelekea magomeni gari naendesha kama dereva wa Formula one (max verstapen au Lando Noris kibati speed 200km/h oya tufanyeni kazi tutafute pesa tuache fikra za kijinga I thought before you’re coward dogs barking on the keyboards of cellphones.

MIMI NAJITOA CHADEMA

HAKUNA NYWI NYWI WALA NYWI NYWIIII
Kweli
 
Ujio wa Mitandao ndiyo umeua kabisa akili za Watanzania. Angalau kabla ya mitandao ya Kijamii waliweza kusimama kama nchi, lakini tangu watu zaidi wameweza kuwa na access na mitandao, watanzania wamefanikiwa kuendelea kulala kama nchi
Sahihi
 
We Mjinga, mali za mafisadi hazina faida yoyote kwa Taifa. Hawalipi kodi yoyote ile.
Ni mali gani ya fisadi iliyochomwa? Mbona unatumia makalio kuchangia hoja?? Uki endorse ile vandalism then risasi zilikuwa halali yao
 
Back
Top Bottom