Ati nyumbu wanasema siku haijaisha watakiwashaNyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.
Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Sijaona clip Yako ukiwa roadMoyo umekufa ganzi! Sioni mwanga mbele.
All in all, ukombozi ni hatua! At least there has been some sensitization......
want wine kwa vitisho vyenu ni mandamano tosha vitendo vya kutoaa vitisho kutumia magari Asikari wengi kuzunguka mitaani ni mandamano hayo na kama ni ujumbe umefika vizuriMliambiwa hakutokua na nywinywii wala nywinywinywiiii 😂😂
Ni sahihi. Maandamano yameishia mtandaoni kwani hakuna serikali itakayoruhusu maandamano yaliyopangwa zaidi ya miezi 3 yafanikiwe.Mkuu hii vita baridi iliyoendeshwa kwa zaidi ya miezi mitatu baina ya serikali na waandamanaji mtandaoni ilifikia kilele hukohuko mtandaoni badala ya iwe kileleni kwa ground.
Niliandika hapa kuwa kuihamasisha vita ya mtandaoni muda mrefu kunapunguza ari ya watu kuingia barabarani
Umebadilika tena?Polling stations?Si mlisema hakuna kupiga kura?Watu watapiga kura tena kwa usalama na amani.Kelele za nyumbu kuhusu maandamano zimebaki kelele na ndoto za Ali Nacha.Hujasema hali ilivyo kwenye polling stations.
Ni mpuuzi pekee ndio angeamini kwamba Tz kuna maandamano
Ni sahihi. Maandamano yameishia mtandaoni kwani hakuna serikali itakayoruhusu maandamano yaliyopangwa zaidi ya miezi 3 yafanikiwe.
Nyumbu ni ccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama ccm walivyokuwa wengi na kuandamana kupitia vitisho vya Polisiccm pasipo kujielewa, kwa kifupi mandamano yamefanikiwa kwani promotion ya vitisho vya Polisiccm ni mandamano tosha na ujumbe umefika Duniani koteAti nyumbu wanasema siku haijaisha watakiwasha
Mkuu sijaona clip Yako ukiwa roadMpaka hapa serikali ina haki ya kutufanya itakavyo. DC anaweza kuja kumpiga miti mke wa mtu na akawa hana cha kumfanya
Wewe ni kichwa cha mwendawazimuNyumbu ni ccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama ccm walivyokuwa wengi na kuandamana kupitia vitisho vya Polisiccm pasipo kujielewa, kwa kifupi mandamano yamefanikiwa kwani promotion ya vitisho vya Polisiccm ni mandamano tosha na ujumbe umefika Duniani kote
Ni kweli. Kitu kikipangwa zaidi ya mirzi 3 hakiwezi fanikiwa bro. Nilielewa sana lile bandiko lako. Waandamanaji wenyewe ndio hawa akina Lucha wanaokuja inbox wakiomba wapigwe mshedede au mwenzake kyagata 😂😂😂Na ingeshangaza kama yangefanyika hata watu miambili kutoka.
Niliandika hapa kuna watu wamehujumi maandamano hasa kina Mange nikatukanwa.
Polisiccm wanaandamana week yote kwa kuzunguka zunguka na kutoa vitisho, kwa kifupi polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchi na mandamano yamefanikiwa kufikisha ujumbe Dunia koteSijaona clip Yako ukiwa road
Tuliwaambia maandamano hakuna wakajikuta Wana mdomo sana angalia aibu ilivyowakuta nakawambia wanaanza kutafuta excusesNaandamana huku sikuoni. Nipo Ubungo hapa nimeona nipige stori na hawa askari. Wananiuliza wenzangu wako wapi. Ndio nasubiri hapa
Wanapigika kwa vita ya mchwaNapita Mbezi mwisho hapa, kuna doria zinapita tu, stand ya Mbezi mwisho ni kama tuko porini.
Ila pia nimepita kwenye stations mbili, hata wao wajisikia vibaya kwa sababu hakuna watu. Wasimamizi ni wengi kuliko wapiga kura.