GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Moyo umekufa ganzi! Sioni mwanga mbele.

All in all, ukombozi ni hatua! At least there has been some sensitization......
Na bado nipo hapa Kata ya Kati Arusha kwenye foleni ya kupiga kura.Hamna nyumbu wala kelele.Moyo licha ya kufa ganzi utasimama muda si mrefu.Haya hiyo support yenu manyumbu ipo wapi?
 
Katiba hairuhusu: Makamui wa rais akirithi kiti cha urais zaidi ya miaka mitatu,ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja Tu.!
 
Ila wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?

Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?

Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Ww kama hakuna unachokifanya kutoka kwenye hiyo hali basi nyamaza!!Acha kushauri fanya vitendo
 
Mkuu Polepole hata akiachiwa hawezi kuwa sawa kwa hali iliyopo.
Hakuna mateso makubwa kama kukataliwa, kutelekezwa na watu uliokuwa unawapigania
Hawezi kuwa sawa kwa mlengo wa Imani aliyo nayo juu ya haki ila polepole ni mjomba ,ni baba mkubwa ni baba mdogo ni ndugu hivyo sisi ndugu zake tunamuhitaji akiwa hai hata asipokuwa sawa kwa usaliti aliofanyiwa na midude ya Generation Z ila sisi ndugu furaha yetu ni kumuona anaishi .

Kaka Robert Heriel Mtibeli hii nchi mi watu ni minafiki Sana aisee
 
Ww kama hakuna unachokifanya kutoka kwenye hiyo hali basi nyamaza!!Acha kushauri fanya vitendo
Mandamano yamefanikiwa sana, Polisiccm wameandamana week yote kwa niaba ya wananchi pasipo kujijua
 
Mm nimeamka asubuhi niwahi nikacheki masnich yanayo enda kutiki nikajipitisha pale watu hamna aisee yaan nikasema hata km hatujaandamana ila mwaka huu kula ni chache sana
 
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Hhaah hili nilijua mapema sana, kunahitajika project ya 20 years kumtoa mtanzania kutoka kwenye mentality za uwoga
Just like 2015, na mwaka huu wata dissapoint
 
mne
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
mmetishia mpaka wapiga kura! watu wamejificha majumbani tu
 
Pumbavu. 😂😂😂
Vipi wapiga kura wapo 😁😁😁 kete ya maandamano imeifunua ccm na samia kuwa ni waovu kwa umma hivyo inachezeka kwa hata kuto kuandamana uchaguzi unakuwa KIBUDU na kumfanya Samia kuwa kiongozi haramu.
 
Mpaka hapa serikali ina haki ya kutufanya itakavyo. DC anaweza kuja kumpiga miti mke wa mtu na akawa hana cha kumfanya
Kwani ulitegemea nini? Kuandamana?Nenda hospitali ya afya ya akili.Nyumbu aneanza kupata akili.Uanaharakati hauwafikishi popote.Ombeni mazungumzo na usuluhishi kwa adabu.
 
Vipi wapiga kura wapo 😁😁😁 kete ya maandamano imeifunua ccm na samia kuwa ni waovu kwa umma hivyo inachezeka kwa hata kuto kuandamana uchaguzi unakuwa KIBUDU na kumfanya Samia kuwa kiongozi haramu.
Vituo ni vitupu hakuna watu zaidi ya kujaa Polisiccm na maccm wenyewe
 
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Si mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi.
 
YANI SAIVI KINA ABDUL ACHA LAMBORGINI, WATAJINUNULIA NDEGE KAMA AIR FORCE 1 KABISA NA WATAJENGA MAGHOROFA MPAKA SAYARI YA MARS, MAANA SIO KWA UFISADI WANAOUFANYA, JESHI LIMEFYATA, WATANGANYIKA MAFISI.
 
Nilimuwa nawauliza hivi leo tunatka saa ngapi nisije kutoka nikajikuta peke yangu nataka nijiandae waniambie tunatoka saa ngapi adi sasa huku nilipo naona wana wapo bize na michongo ya kutafuta pesa sioni zile mbwembwe za kutoka, hakika watanzania sio watu wakuaminika🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Mikwara ilikuwa mingi humu nikajipa moyo tutatoka kumbe ni ushujaa wa nyuma ya ma simu.
 
Back
Top Bottom