Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Nimeamka saa sita usiku naendelea na maandamano .Sikati tamaaa
Week yote Polisiccm wanazunguka mitaani na kutoa vitisho kwenye media kwa lugha sahihi polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchi pasipo kujielewa, wao walijua wanawatisha watu kumbe vitisho mikwara yao ni promotion ya mandamano zaidi na lengo la mandamano limetimia kwa nia ni kufikisha ujumbe Dunia kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo matupu...na aina ya mhamasishaji mwenyewe, She could have a point, but she misses the tone, the moral, and the authority.
Yaani msambaza picha za ngono na udaku ndiyo asimame kuongoza harakati? Points anazo, ila alipaswa kutokuwa mbinafsi, hili ni jambo la team work, angeweza angalau kuachia mtu wa kusinamia shoo. Hata moral authority and tone and shape ya kusimama mstari wa mbele katika hili.
Halafu watanzania wenyewe hata wakifir.wwa wao kwao poa tu, hata hawalalamiki.
Watanzania siyo watu wa kuwap7gania, kwanza watakuuza tu. Watanzania hata ukujutana nao nje wakwepe, usijutambulishe kama qewe pia n8 mtanzania
SanaaNimefanya Oparesheni Kama 5 za kutukiza ghasia nawajua Watanzania
Watanzania wakatiri wakiwa gizan ila kwenye mwanga wanajifanya malaika, wanavitabia vya kuigiza igiza
Pumbavu zenu mshindwe sbh mje muweze jioni?Siku haijaisha
Kwani Tanzania kuna uchaguzi?Nilimuwa nawauliza hivi leo tunatka saa ngapi nisije kutoka nikajikuta peke yangu nataka nijiandae waniambie tunatoka saa ngapi adi sasa huku nilipo naona wana wapo bize na michongo ya kutafuta pesa sioni zile mbwembwe za kutoka, hakika watanzania sio watu wakuaminika🤣🤣🤣🤣🤣
Pumbavu zenu leo ndiyo mwisho wenu hamtaaminika tenaWeek yote Polisiccm wanazunguka mitaani na kutoa vitisho kwenye media kwa lugha sahihi polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchi pasipo kujielewa, wao walijua wanawatisha watu kumbe vitisho mikwara yao ni promotion ya mandamano zaidi na lengo la mandamano limetimia kwa nia ni kufikisha ujumbe Dunia kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo matupu
Tumbo kwanza we 🤣appetite ya kunywa chai unapata wapi?
Polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchiTanzania kisiwa cha amani. Hatujazoea fujo!
Ungesusa kupumua ungeeleweka.Ususie Serikali ili iweje wewe nyumbu?Serikali inakuhitaji kwa lipi kwa mfano?Kinacho fuata ni kuisusia serikali
Wewe ndiyo pumbavu mkubwa kama ulitaka waaminike usingeogopa kutuma Polisiccm kutoa vitisho, ungekaa kimya upime uwezo wa masmuzi ya wananchiPumbavu zenu leo ndiyo mwisho wenu hamtaaminika tena
Polisiccm hukuona vitisho vyao? au wewe upo shimoni?Ila wabongo bana kilelee zotee zilee 😃😃😃😃
Wapinzani wanatakiwa kupiga picha za video vituo vyote tena picha za 8K kabisa kuwa ushahidi...maana wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu wanaweza kuacha hii fursaVituo ni vitupu hakuna watu zaidi ya kujaa Polisiccm na maccm wenyewe
Nyumbu ni ccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama maccm yalivyo mengi yanaogopa mandamano mpaka kutuma Polisiccm kutoa vitisho kuzunguka mitaani na mabundukiUngesusa kupumua ungeeleweka.Ususie Serikali ili iweje wewe nyumbu?Serikali inakuhitaji kwa lipi kwa mfano?
NdioKwa ajili ya mtanzania?
Nyumbu ni ccm kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama ccm waoga wametumia mabilioni kununua vifaa magari ya polisi kutuma Polisiccm kutoa vitisho mikwara mingi kuzuia mandamanoNyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.
Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Waulize CCM jana ofisi zao nipiga mawe sana.Lengo langu lazima litimieWe ni Kibaka tuu ulikua unaangalia madirisha ya watu