Whatever the outcome, kila kitu kina mwanzo. Ist attempt!Leo ni siku ya kihistoria #MO29 #Oktoba29Tunatoka 📌 🇹🇿
View attachment 3495567
Let us plan for the second attempt
Whatever the outcome, kila kitu kina mwanzo. Ist attempt!Leo ni siku ya kihistoria #MO29 #Oktoba29Tunatoka 📌 🇹🇿
View attachment 3495567
Uchaguzi upi? ccm v ccm? Samia vs suluhu? Tanzania kuna uchaguzi? ccm wanagombea na nani?Maandamano ya namna hii si kawaida kutokea tanzania, bora uchaguzi ufanyike kwa amani tuone nini cha kufanya baada ya uchaguzi, labda suala la maridhiano ya kitaifa yawepo kuponya taifa na mambo yaliyotokea kuelekea uchaguzi huu
Niliwahi kusema wakuandamana hawa hawa tulio jf au wengine?Nani ana jitoa mhanga kwa ajili ya wengine?
Hivyo vyote ni chama kimoja kaka.Wekeza kwenye taifa lako.
Chama kinabadilika muda wowote. Kilikuwa TAA, TANU, sasa ni CCM.
Si mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi. Sasa mnaanza kuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.Uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana ungeniuliza mimi nikuonyeshe nini ni nini ...uliyo andika ni kinyume chake uwezi kushinda vita bila ya kumuua adui au adui kujisalimisha ...kete za kumdondosha samia zipo sawa sawa kabisa zinavyo kwenda ...ulicho andika umekikosea kwa asilimia 99% huu uchaguzi unakwenda kumbatilisha samia na ccm ...niliwaambia kuwa 2025 hakuna uchaguzi hata ccm na upinzani wangetaka ndivyo ilivyo na ndivyo itakavyo kuwa kuhusu maandamano hiyo alina shaka yatakuja tu tena ya jinsi yake ...
Tanzania hakuna uchaguziWapi kura leo ni watu wazima na wale wanaodharaulika mtaani. Hakuna kijana hata mmoja anayejuelewa aliyeenda kupiga kura
Nilikuanbia siku ile hawa hawa wa jf ndo waandamane?Ww si ndo ulikuwa kinara wa kuhamasisha maandamano humu nenda kaandamane uvunjwe pumbu
ImaKwani wapiga kura wapo ...kama wapo basi maandamano yame feli 😁 kama awapo basi ni dalili njema ya kuanguka kwa KAHABA
Sasa waandamanaji wa kweli wanaogopaje doria na wao walikuwa wanasema wapo wengi kuliko Askari ?Usiseme hivyo. Huku site hui Doria ungeiona ungejua kwamba uwezekano wa maandamano kufanyika ulikuwepo.
Never underestimate your opponent
Mtanzania asipojitoq mwenyewe hakuna wa kujitoa kwa ajili yakeNdio
Yupo ikulu kinyume cha katiba katiba sheria ilimruhusu akae mwaka mmoja afanye uchaguzi lakini kakaa miaka kibao na sasa anatumia Polisiccm kukandamiza demokrasia na kuendesha uchaguzi wa maigizoKatiba hairuhusu: Makamui wa rais akirithi kiti cha urais zaidi ya miaka mitatu,ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja Tu.!
Haya tuwekee hizo move movement za kupiga kura nasubiriHuku nako ni kujizima data. Tangu lini movement za kwenda kupiga kura zikafanana na movement za kuandamana ?
Ima
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama wewe shetani na mashetani wenzako mngekuwa watenda haki msingewatuma Polisiccm kufanya doria, mngeacha mandamano yafanyike kwa uhuru kwani ni haki kikatibaSasa waandamanaji wa kweli wanaogopaje doria na wao walikuwa wanasema wapo wengi kuliko Askari ?
Maandamano yakakuja muda na saa na siku usiyo ijua hata baada ya Samia kujipatia urais kinyume na uchaguzi tena siyo maandamano tu ya kawaidaSi mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi. Sasa mnaanza kuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.
Anazo kura mifukoni watajitangazia ushindi haramu wa kuzushi lakini Dunia yote wanajua Tanzania hakuna uchaguzi huru na hakiHata Uchaguzi umefail pia. Pamoja na kampeni zote na kupoteza kodi za Watanzania. Wapigakura wameamua kulala nyumbani. No Reforms No Election imefanikiwa. Samia ajitangaze mwenyewe bila kura za wananchi.