GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtu hauwezi kuamka ukaenda kwenye kuandamana Kwanza unaandaa shibe yako ili ukiandamana ni mwanzo mwisho Nb nimekutana na kifaru maeneo ya Ubungo sasa sijui wanainchi nao Wana siraha au
 
Ccm wenyewe pia walichangia sana kuyavumisha maandamano hayo katika mikutano ya kampeni, sijui walishikwa na woga gani mpaka kuleta taharuki nchini wakati tulishasema hakuna maandamano, hiyo ni mikwara tu mitandaoni. Hii sio vizuri ccm kuingizwa chaka kwa maandamano yasiyokuwepo
Pumbavu
 
Mambo haya niliachaga kujipa matarajio leo sina maumivu.

1.Mapenzi
2.Pesa ambayo haipo mkononi mwangu
3.Siasa
4.Watanzania

But wote sisi hatujaandamaana maana yake wote tumeridhika na kinachoendelea asitokee mtu miongoni mwetu akaleta mdomo.
Tutamwambia atume clip ya yeye aliyoandamana Kwanza Kama Hana akae kimya
 
Wakati mnacheka na kufurahia maandamano kutokuwepo, je mmejiandaaje kutuambia idadi ya waliopiga kura ni 85% ya walioandikishwa kama mitaa ni myeupe hivi?
 
Siri badala ya siti...ndio neno lililotamalaki kwenye keyboard yako
 
Mimi nitaandamana nikiwa ndani ya duvet ziiito kabisa na mtoto mzuri
 
Cheki hili tako la kupauka kuna serikali bila watu we kengeza?
Wewe huhesabiki kwenye kundi la watu wanaohitajika.Ndio sababu hata ukiisusia Serikali huharibu chochote.Usijiingize kwenye kundi la watu.Usijipe umuhimu you are a nobody just a fool filling an open space.
 
Uchaguzi umefeli vipi watu wanaendakupiga kura SEMA wes2 ndio hujaenda mzee nenda barabarani ukakomboe nchi sio kujificha jamii forum Leo tarehe 29 umesahau🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na wewe unayepigia kura humu jamii forum .... Una tofauti gani?
 
Yupo ikulu kinyume cha katiba katiba sheria ilimruhusu akae mwaka mmoja afanye uchaguzi lakini kakaa miaka kibao na sasa anatumia Polisiccm kukandamiza demokrasia na kuendesha uchaguzi wa maigizo
Katiba ipi ilimruhusu kukaa mwaka mmoja?Lete vifungu vinavyoandika hivyo.Au ni minyoo ndio inazungumza kwa sababu ya njaa?
 
Maandamano yakakuja muda na saa na siku usiyo ijua hata baada ya Samia kujipatia urais kinyume na uchaguzi tena siyo maandamano tu ya kawaida
You only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
 
Kama wewe shetani na mashetani wenzako mngekuwa watenda haki msingewatuma Polisiccm kufanya doria, mngeacha mandamano yafanyike kwa uhuru kwani ni haki kikatiba
Huna hoja. Kwa takwimu zenu mnasema mpo wengi kuwazidi askari. Sasa hofu ya doria inatoka wapi au takwimu zimebadilika ?
 
Back
Top Bottom