GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barabara kama ni nyeupe ina maana hata wapiga kura wameamua kukaa majumbani mwao?
 
Shots fired by imposters - agent provocateurs dressed as police trying to incite people!
Polisi wamesema wao hawajahusika hawa ni waganda au UVCCM
Tunaomba Jeshi watusaidie kuwadhibiti wanataka kujenga hasira za wananchi dhidi ya polisi! Hatutakubali!
JW wameshatoka kuja kutulinda
Tusiogope 💪🏽
#MO29 #OktobaTunatoka
 
Mkuu wenyeviti wa mitaa wanafanya kuwapigia watu simu waende wakapige kura hali ilivyo kwenye vituo hata makada wamegoma leo
mbona naangalia tv zote kubwa ziko live kuonesha wananchi wakipiga kura? Misururu inazidi kurefuka
 
🔥🔥🇹🇿 Tanzania stand up 💪🏽
Vituo viko empty
Dunia inajua ukatili unaoendelea
Maandamano ndo kwanza imeanza!
#WenyeNchiWananchi
#Oktoba29Tunatoka
#MO29
20251029_105310.jpg
 
Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣

Bado mapema sana acha kujichekesha alafu unapiga picha tu sehemu ya kujichagulia wala sio sehemu ya waandamanaji
 
Vp Scouser bado barabara nyeupe? Kaangalie taarifa BBC!! Ni vzr mjitatafakari na muwasikilize wananchi nn wanataka!! Kuendelea kujigamba na viburi na kupuuza maoni ya wananchi huko mbeleni hakutakua shwari!!
 
Empty polling stations in Tarime!
Wasimamizi wamekimbia
Hakuna uchaguzi
Empty polling stations!
🔥🔥🔥
Sasa tutoke!
#MO29 #OktobaTunatoka
#Bravo #tanzania 💪🏿😂🔥🔥🔥

20251029_113450.jpg
20251029_113453.jpg
20251029_113456.jpg
20251029_113458.jpg

#FreeTunduLissu #FreePolepoleNow #StopAbductionsTz #SamiaMustGo #OktobaTunatoka
 
Record record!
Tuma!
DM hapa au Instagram
Au tuma call centre
Walioumizwa nimeshapata footage endeleeni kunitumia! Watawajibishwa
#MO29 #OktobaTunatoka
20251029_115244.jpg
20251029_115248.jpg
 
ilo Sahau utakufa wewe utamuacha🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani nice mimi kijana nguvu kazi abaki yule bibi mwenye obesity?
Yule sio asset, ni liability kama Kikwete tu
 
Jamani tuko na wazalendo wanasema tokeni na wanacheka
Ingieni Zello muda huu
Tuko na machawa ila msijali
👇🏾👇🏾👇🏾 tumia link
Check out the Oktoba 29 channel on Zello. zello.me/k/jeXUP
20251029_132749.jpg
 
Back
Top Bottom