Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Uchaguzi na maandamano kipi kimefeli
Wote tumeamua kuwa CCMUchaguzi umefeli vipi watu wanaendakupiga kura SEMA wes2 ndio hujaenda mzee nenda barabarani ukakomboe nchi sio kujificha jamii forum Leo tarehe 29 umesahau🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi bado upo mvunguni?Jamaa yako Lord Denning upo nae mvunguni?Talking is cheap.Wanaharakati uchwara.Wote tumeamua kuwa CCM
Acha itawale
Leo tunaimba iyena iyena CCM nambari wani
Tulia muda maneno imekwisha Sasa ni vitendo tuVipi bado upo mvunguni?Jamaa yako Lord Denning upo nae mvunguni?Talking is cheap.Wanaharakati uchwara.
Hali iliyopo kwenye vituo vya kura inasikitishaTanzania hakuna uchaguzi
Tanzania kuna maigizo ya uchaguzi
Wapinzani wa kweli wapo jela kwa kubambikiwa kesi za uongo na maccm
Kijambio cha samia wewePumbavu zenu
ni asubuhi bado. Subiri mpaka jioni ndio uje na hoja yakoHali iliyopo kwenye vituo vya kura inasikitisha
Hamna maandamano barabarani, yamebaki humu humu JF, FB, Instagram na X (au Twitter). Hamuwezi kuwadanganya Watanzania kuwa Samia ni mbaya. Wananchi wenyewe wanjionea maendeleo. Ni wavivu tu ndiyo wanalialiaKila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Uchaguzi na maandamano kipi kimefeli
Hiyo ndiyo STRATEGY ya uongozi wa chama. Siyo ropropo za akina Lissu na Heche. Mtu kachukua uongozi Januri 2025 kufika April karopoka na kadakwa na kutupwa selo. Makamu Heche naye mwezi Mei hataki kusaini kanuni za maadili, tupa kule mbaliIla wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?
Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?
Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Ujui unaye bishana naye ni geniusYou only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
Ww kenge inashangilia nini!? Wewe ndie abduli au umekalia kunuka jasho hapo huku unaowashangilia wanatafuna mabilioni!Kwisha habari yao
When J Cole said “don't save her she don't wanna be saved”Ujui unaye bishana naye ni genius
Yahee hakuna mtanganyika wa kukubali kuongozwa na MZANZIBAR TENA ALIYE THE MOST STUPID FAIZAFOXYYou only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
Endelea kuwa ngazi ya mafanikio ya watu ujinga kajazane na makima wenzioWewe huhesabiki kwenye kundi la watu wanaohitajika.Ndio sababu hata ukiisusia Serikali huharibu chochote.Usijiingize kwenye kundi la watu.Usijipe umuhimu you are a nobody just a fool filling an open space.
Mkuu wenyeviti wa mitaa wanafanya kuwapigia watu simu waende wakapige kura hali ilivyo kwenye vituo hata makada wamegoma leoni asubuhi bado. Subiri mpaka jioni ndio uje na hoja yako
mzee mwinyi alikua rais au shule ili kukuta sokoni ukiokota tu vituvituNa wakatihuohuo hakuna mtanganyika anaeruhusiwa kuwa hata mkuu wa wilaya huko Zanzibar?.
Lakini wao wanauwezo wakuwa viongozi huku!.
We umenufaikaje?Hiyo ndiyo STRATEGY ya uongozi wa chama. Siyo ropropo za akina Lissu na Heche. Mtu kachukua uongozi Januri 2025 kufika April karopoka na kadakwa na kutupwa selo. Makamu Heche naye mwezi Mei hataki kusaini kanuni za maadili, tupa kule mbali