GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi wamechoma Moto Gari ya Polisi Tunduma.
#NoReformsNoElection #MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania
20251029_140646.jpg
 
‼️🚨 THERE IS NO ELECTION IN #Tanzania. ‼️
#MO29 #OktobaTunatoka
Hakuna uchaguzi na hakuna matokeo ya kutangaza! Msiharibu hali hii! Tunahitaji HEKIMA na BUSARA!
Kwa sasa hakuna Rais wala nini tuko ktk mpito kwa hiyo Busara itumike!
Tume msifanye kosa! Kwa sasa HAKUNA MATOKEO YA KUTANGAZA - watu hawajajotokeza!

Turnout is low, many polling stations destroyed and some have been empty!
It is the duty of Jumuiya @_AfricanUnion observers to call this out before this spirals more out of control!
@SuluhuSamia as of now is just a normal citizen and @TumeYaUchaguzi has to declare the election null and void

Screenshot_20251029-151012.png
 
In Tanzania, the internet has been switched off due to protests.

This has made the youths angry and idle now they are all joining the protests in the streets
20251029_155744.jpg
 
Join @mariastsehai #XSPACES for updates
ONGOING right now on X
🔗https://x.com/i/spaces/1vOxwdeRORoKB
#MO29 #OktobaTunatoka

For tomorrow's program 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Join the space for updates 📍 #MO29 #OktobaTunatoka #SamiaMustGo
 
Join @mariastsehai #XSPACES for updates
ONGOING right now on X
🔗https://x.com/i/spaces/1vOxwdeRORoKB
#MO29 #OktobaTunatoka

For tomorrow's program 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Join the space for updates 📍 #MO29 #OktobaTunatoka

#SamiaMustGo
Screenshot_20251029-191438.png
 
1pe7dj.jpg

Bobi wine sends a message of solidarity for wananchi #GEN_Z TZ🇹🇿💪🏿🔥
@HEBobiwine :
Standing in solidarity with the great people of Tanzania who are defying odds to protest against electoral injustice and impunity! Standing in solidarity with comrade Tundu Lissu, the main opposition leader who remains detained since April and his party CHADEMA banned from running in the sham election! The young people of Africa are speaking - let all despots listen.
#MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #SamiaMustGo 📍 🇹🇿

FB_IMG_1761765966321.jpg
 
View attachment 3495941

FB_IMG_1761765982188.jpg
 
The first day was successful. How do u sustain the revolution to achieve political goals? You’ve the numbers but need to mobilize more people. You have the momentum and morale. People have overcome fear. The army is on your side. Way forward: mobilize resources, legal services.
📌
Siku ya kwanza ilifanikiwa. Je, unawezaje kuendeleza mapinduzi ili kufikia malengo ya kisiasa? Una nambari lakini unahitaji kuhamasisha watu zaidi. Una kasi na ari. Watu wameshinda hofu. Jeshi liko upande wako. Njia ya mbele: kuhamasisha rasilimali, huduma za kisheria.
Screenshot_20251029-220456.png
 
Resources: medical supplies, money, food, water. Mobilize domestic public opinion, unite the different groups, global demonstrations, coordinate regional protests to isolate the pariah regime. We stand in solidarity with our brethren! #Harambe!

📌
Rasilimali: vifaa vya matibabu, pesa, chakula, maji. Kuhamasisha maoni ya umma, kuunganisha vikundi tofauti, maandamano ya kimataifa, kuratibu maandamano ya kikanda ili kutenga utawala wa pariah. Tunasimama kwa mshikamano na ndugu zetu! #Harambee!

Screenshot_20251029-220515.png
 
‼️🚨 ORODHA YA WATU HATARI TANZANIA 🇹🇿‼️
Orodha ni ndefu na tutaiweka kwenye channel - hawa i baadhi wale Top 22 almaaruf!
Nadhani mmewaona sura na majina yao!
Tunahitaji wawajibishwe!
#MO29 #TutaelewanaTu
20251029_224328.jpg
20251029_224332.jpg
 
Back
Top Bottom