Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 986
- 693
#MO29 🇹🇿 📍
New chapter loading... 🔥
New chapter loading... 🔥
Umemsahau Kikwete kwenye orodha, ring leader wa genge la wahuni.‼️🚨 ORODHA YA WATU HATARI TANZANIA 🇹🇿‼️
Orodha ni ndefu na tutaiweka kwenye channel - hawa i baadhi wale Top 22 almaaruf!
Nadhani mmewaona sura na majina yao!
Tunahitaji wawajibishwe!
#MO29 #TutaelewanaTu
View attachment 3496045View attachment 3496046
‼️🚨 ORODHA YA WATU HATARI TANZANIA 🇹🇿‼️
Orodha ni ndefu na tutaiweka kwenye channel - hawa i baadhi wale Top 22 almaaruf!
Nadhani mmewaona sura na majina yao!
Tunahitaji wawajibishwe!
#MO29 #TutaelewanaTu
View attachment 3496045View attachment 3496046
Yaah maana huu uchaguzi ni batiliLipueni eneo la tume ya uchaguzi leo,kazi itakuwa imeisha.Wanatangaza upumbavu tu.
Chizi huyo,labda alikuwa kwenye HEATMleta uzi umeukimbia uzi wako?
We mzee hivi tunavyoongea nusu saa iliyopita kimenuka Songea! Mtaelewa tuKubalini maandamano yamefeli we umeona wapi maandamano yamekusanyika sehemu moja Tena ni wachache sehemu nyingine kote kweupe
Vipi maendeleo mama?Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.
Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu