Kuna watu walikuwa wanasema maandamano hayatakuwepo, acha niwatag 😂😂
Lucas Mwashambwa huyu jamaa ni chawa mkubwa wa Samia humu JF, Samia aking'olewa madarakani sijui ataweka wapi sura yake 😂😂😂
Stuxnet fundi wa matusi huyu. Sasahivi haamini macho yake
ChoiceVariable kijana wa Mbeya halafu ana support CCM wakati CCM imeisahau Mbeya na kuinyima maendeleo muda mrefu. Thank God watu wa Mbeya ni intelligent wameandamana na kupinga serikali katili ya Bi Chura
Robert Heriel Mtibeli Mwanzo alikuwa ana support sana maandamano baadae akaacha, akaanza kuandika thread ndefu za kukatisha tamaa maandamano na kutuletea utabiri wake uchwara eti maandamano yatafeli vibaya. 😂😂
Lucha huyu dada siku za mwanzo alikuwa anapretend kuwa hana side yoyote, hayupo upande wa wananchi wala CCM. Lakini akawa anakandia sana wananchi na kuwaita nyumbu, waoga na kwamba hamna watakachofanya. Siku za mbele akazidi kujionesha kuwa ni Pro CCM, alikuwa mkali dhidi ya comments za kumpinga Samia. Haya, kiko wapi 😂😂