Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,314
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/

Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na picha na video za mauwaji yanayoendelea hapa nchini
 
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na picha na video za mauwaji yanayoendelea hapa nchini
Kabisa. Hii ni ya share kila platform.
 
Kama hujui cha kufanya naomba copy hii chini alafu utaongezea maneno yako alafu watumie ICC

We are desperately seeking your leadership and help to end the senseless killings in Tanzania following the election this past week. Youngsters are being killed in many towns, and the hospitals are overwhelmed. The shootings are committed by the police and suspected non-Tanzanian citizens from Uganda.

I have attached pictures for your convenience to give you a view of what’s going on.

We are requesting your help as our leader, and we believe that you will see to justice for Tanzanians. Please use all your powers to stop this and restore order, justice and human rights in Tanzania.

Tuma email yako ya kuishitaki serikali ya ccm kupitia link hii https://otplink.icc-cpi.int/
 
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/

Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na picha na video za mauwaji yanayoendelea hapa nchini
Miye nimekwisha tuma….nimeambatanisha na hiyo video.
 

Attachments

  • IMG_4839.jpeg
    IMG_4839.jpeg
    342.1 KB · Views: 36
  • 7a468c22-523c-4a30-8661-c71602b8fcf1.mov
    25.3 MB
Huku nikupoteza muda ,kunawangapi walishawahi kushtakiwa huko ICC na mwisho wake leo wanakula maisha kama kawa .

Hebu ngoja , kwani Kenyatta sialiwahi kushtakiwa huko ICC,ni nini kikitokea ? Siakaja kuwa Rais na maisha yanaendelea .

Vipi na Ruto ,sialiwahi kushtakiwa , leo sinihuyo Rais wa Kenya?

ICC hao tunaowategemea nao nikakikundi cha wahuni tu kama wahuni wengine , kama kweli tupo seriously inapaswa tumobilize watu kesho tukaibuke huko huko kwenye uwanja wa Jeshi wanakomuapishia ,huo ndiyo utakuwa uanaume unaotakiwa ,zingine hizi nikutoana kwenye reli tu na pengine hizi porojo zinafanyws na system ili kuendelea kutuondoa kwenye njia .

Serikali iliyoamua hadi kugonga risasi raia wake mchana wa wa saa nane ije kuiogopa ICC , you guys are we seriously?

Kama nikweli tunayataka mabadiliko tujitahidi kupunguza uwoga .
 
Ndugu vijana waliopunguza woga na kuingia barabarani ndio hao wameuliwa na polisi,sasa toa njia mbadala ya kusolve hili janga sio kwa kurudia njia zile zole ambazo zimeshindikana.
Mkuu vijana ni kundi kubwa sana ,sensa ya mwaka 2022 inatupa data ya vijana wa kuanzia miaka 18+ ilikuwa inasoma mil 12.9
Ukijumlisha wale wa miaka 15-17 ilikuwa inasoma about mil 15+ unaona idadi yake hapo kwa haraka .

Hao waliyowaua wanafika hata asilimia ngapi kwenye hiyo idadi?

Kimsingi CCM hapo wamejiongezea tatizo na sijui nani aliyewashauri wacheze huo mchezo wakutisha

Tujiandae na yajayo .

Njia ya haraka japo yenye madhara makubwa nikutafuta tu madealer wa siraha nakuwaelekeza soko , mwendo uwe kugongana njugu tu mamamamaaaeee, mavyama ya siasa yale sijui CHAUMMA, Chadema Cuf namengineyo naona yanatupotezea tu muda .

Mimi nimekuwa CCM tangu kizazi changu cha tatu nyuma lakini kwa haya yaliyofanywa na haya majinamizi imefanya hadi niichukie siasa .
 
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/

Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na picha na video za mauwaji yanayoendelea hapa nchini
Tatizo mnatapatapa sana hamjui mnachopigania
 
Uishitaki na nani bwana maandamano yamekushinda unaanzisha ujinga mwingine tena
 
Hatuombei ila kuna watu wasipokuwa makini one day watafika huko
 
Muache kuwafanya watu kama wapumbavu kama kuna fedha mnalipwa mtushirikishe. Ni kweli serikali kuna sehemu inakosea ila tangu internet imerudi sijaona washenzi kati yenu wanakemea vitendo vya wizi na uharibifu kwa raia wa kawaida zaidi ya kuendeleza upuuzi wenu na ajenda zenu za kipuuzi na ungekuwa karibu ningekufukuza na mawe. Kwani si mgeenda hata Dodoma mkaandamane ikulu pale kama mpo serious.
 
Watanzania wote kwa umoja wetu tuishitaki hii serikali kwa mauwaji iliyofanya kwa watanzania link ya kutuma mashitaka ni https://otplink.icc-cpi.int/

Utakapo tuma mashitaka ambatanisha picha na video kwa ushahidi wa kilicho fanywa na ccm tarehe 29/10/2025 na kuendelea
 
hii ni link https://otplink.icc-cpi.int/ ya mahakama za kima Taifa ICC tuendelee kuwatumia video za ushahidi wa mauwaji ya samia alivyo wauwa watanganyika Gizani
 

Attachments

  • 7cc7e107-38de-4a74-8793-c45146855f80.mov
    18.7 MB
Back
Top Bottom