station Gani hiyo? mafumbo Hadi Habari nyepesi kama hiziWatu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
Mh! Mh! Mh!Watangazaji wa RFA ndio wanaongoza kwa migomo, kuna kipindi alibaki Rebecca Mulesi tu ndio alikuwa anaendesha vipindi karibu vyote
Wachafu FMRadio which? Sio kila mara tume tune Garden radio
Wachafu FMstation Gani hiyo? mafumbo Hadi Habari nyepesi kama hizi
Duh! Redio gani hiyo wengine mara ya mwisho kusikiliza redio ni miaka 17 ilopitaWatu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
Jiongeze! Mtoa mada atakuwa miongoni mwa waliogoma!station Gani hiyo? mafumbo Hadi Habari nyepesi kama hizi
Mh! Mh! Mh!
Yatakushinda.
Dah!Hii redio itakuwa WASAFI FM ambayo watangazaji wake hawalipwi mara baada kazi ya uchawa kusuasua.
Pia ikumbukwe kuwa Pdidy ambaye humvagaa Diamond kwa nyuma na kumpa chochote kitu Yuko korokoroni.
RIP wasafi FM.
Cc Mbaga Jr
KERATO MOMBAA.
😎😎😎.Dah!
Wamtafute mheshimiwa mbunge baba LEVO awasaidie kulipa mishahara ya watangazaji!!Wachafu FM