100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Baada ya muda hata serikalini kwenye mishahara wataanza kutafutana kwa torch. Hapo ndipo patakuwa patamu sana maana hao chawa ambao hununuliwa na wao watawageuka kutokana na posho kukatika na mishahara.