Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.

Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.

Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi wanaomtumia walimtafutia vyeti wakamwacha ujuzi wake.

Kufunga kwenye football ni sanaa inayopangwa vizuri na kocha mazoezini. Timu inaunda nafasi unaona.

Nakumbuka Magoli ya simba thidi ya De agosto. Angola kule ni sanaa tupu. Tachi moja moja mbili hadi goli. Mgunda wakati anampiga azam akiwa simba 3-0, na akina chasambi. Azam anacheza mpira Simba anapata matokeo.
 
Yuko sahihi sababu mpira ni magoli!

Kocha letu la milele!
 
Miaka yote hiyo wanasemaga anajifunza, kama haelewi si wamuache tu.
 
Back
Top Bottom