Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA.
Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa zilizogharimu matrilioni zimekuwa majivu, waliota mwendokasi umekuwa chuma chakavu, waliota nyumba za wananchi wanaoipenda serikali zimekuwa majivu, waliota nyumba za askari zimekuwa majivu, watoto wa askari aidha wanakuwa yatima au wanakufa pamoja na wazazi wao.
Niliwaonya kuwa serikali haitanii, wakijaribu tu watafanywa kitu hicho ambacho watoto wao (Gen ZZ) wakisimuliwa watatetemeka kwa hofu. Mama zao kijijini watalia sana, yaani watalia mpaka wamalize kutaja mabibi na mababu wa zamani wote.
Sasa turudi kazini, tufanye kazi, Rais Samia ni Rais bora sana.
Kijana usipofanikiwa awamu hii wewe basi, kila sekta kuko vizuri acheni kuendeshwa na makahaba MANGE Kimambi na yule pepo mchafu Recho