wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taja album unayoweza kuisikiliza mwanzo mwisho bila kurika wimbo wowote

    Kwa upande wangu... 1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar 2. The Verteller - Dizasta Vina 3. Damn - Kendrick Lamar 4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars 5. Bad - Michael Jackson
  2. Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  3. Sasa ni rasmi ukiwa Mtangazaji wa TBC 1 jua una 99% za muda wowote kuwa Mkuu wa Wilaya

    Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
  4. F

    'Kutofungamana na Upande wowote', sera iwekewe mkazo kuepusha migogoro ya kidiplomasia. Suala la Nemes Tarimo ni doa

    Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje? Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
  5. Jezi za Taifa stars kutolewa hovyo kama njugu bila uwoga wowote tuhesabie ni upigaji?

    Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars. Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
  6. Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  7. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  8. P

    Hakuna mpango wowote wa kuwanasua Watanzania na umasikini uliyotopea!

    Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023. Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
  9. M

    Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

    === Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu, Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo...
  10. D

    Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
  11. Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
  12. Kuwa makini na haya makundi, muda wowote yanaweza kukuumiza

    Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:- Marafiki wako wa karibu Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao. Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
  13. Ditopile yupo tayari kutumika wakati wowote kuunga juhudi za Rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
  14. Ni upi mustakabali wa sera ya kutofungamana na upande wowote (NAM)?

    Dunia inaenda kasi sana ! kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili. Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia...
  15. Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

    ...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua. ....tumeitisha jeshi lote la akiba. ....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia. Putin. Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
  16. Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  17. Kuna ubaya wowote kumuachia housegal pesa ya matumizi yeye ndiye aipangie budget?

    Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home. Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
  18. Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  19. N

    Singida wanafaidi tozo kuliko mkoa wowote

    Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
  20. Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…