Watu tumekaririshwa tu ukabila mbaya ukabila mbaya. Ukabila hauna ubaya wowote. Wanaopiga kelele kuwa ukabila mbaya ni wanataka watu wengi waje pamoja ili wawaibie na kuwatawala kirahisi.
Kunaanza Familia, Ukoo, kabila, taifa. Hakuna ubaya mtu kuwa mzalendo kwa familia, ukoo, au taifa lake...
Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote.
1. Andrea Barzagli & Javi Fuego
Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi
TAARIFA KWA UMMA
MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
Taarifa kamili hii hapa.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi.
Marehemu...
cag
gani
geofrey lawrence makonyu
geofrey makonyu
habari
ingilia kati
kigogo
kuhusu
maswali
mengi
ndimwaga shitindi
ofisi
ripoti
ripoti ya cag
spika
taarifa
ukweli
vifo
watumishi
wowote
Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale.
Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani.
Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.
Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.
Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.
Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya hadi sasa kuna Wagonjwa 10 waliobainika katika Wilaya ya Ilala ambapo 3 wapo Tabata, na...
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema...
Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira.
Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
Habari zenu.
Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia
Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.
Swali la leo ni kuhusu kuibuka na...
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala.
No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya...
Watu wengi tunajaribu kurubuniwa eti kuwa mwamba Ni mbaya ,Ni mtu mbaya ,Mimi ninachowaza Ni kuwa kama kwa namna yoyote alikuwa na ubaya wowote Ni chama kilichomsimamisha kimesababisha hayo,hakina mfumo madhubuti badala yake wapo radhi kufanya lolote mradi malengo yenu yatimie,nafahamu...
Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni...
Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo.
Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa...
Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari.
Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.