Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Wasalaam JF
Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu.
Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu.
Wadiz
Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje?
Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
Moja kwa moja,
Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars.
Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu...
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.
Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023.
Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo...
Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!
Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!
Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja.
Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa.
Nimeota haya leo
Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:-
Marafiki wako wa karibu
Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao.
Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
Dunia inaenda kasi sana !
kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k
Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili.
Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia...
...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua.
....tumeitisha jeshi lote la akiba.
....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia.
Putin.
Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
Wanabodi
Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
Habari wakuu?
Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home.
Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno
Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa
Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa.
Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu.
Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.