wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vhagar

    Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

    Hello JF? Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali. Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa. Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua...
  2. R

    Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

    Salaam, Shalom! Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia. Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
  3. Webabu

    Tuko tayari kupigana kwa muda wowote vita itakaochukua - Hamas watoa tamko kuadhimisha vita na Israel

    Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko hilo kiongozi huyo amesifu utayari wa vikosi vya kivita na mikakati mnyumbuliko waliyojitayarisha...
  4. Nehemia Kilave

    Kuna ukweli wowote hapa ?

    Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
  5. M

    Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

    Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria. Kwa...
  6. S

    Utabiri: Huyu kigogo anaetuhumiwa kufanya unyanyasaji, anaweza kujiondoa wakati wowote

    Kutegemeana na ukweli wa mambo, huyu mwanamama anaweza kushindwa kuhimili aibu na fedheha itayomkuta na hivyo anaweza kujiondoa wakati wowote ule kuanzia sasa. Ushauri: Ndugu na jamaa zake, hasa Mumewe kama ameolewa, wawe makini na nyendo zake kwani kwa sasa hawezi kuwa yuko normal kisaikilojia...
  7. DolphinT

    Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  8. N

    Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  9. Eli Cohen

    Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali

    Ngoja nikuambie vyema mpendwa kama hautaki kuelewa basi bishana na mizimu ya nyumbani kwenu. Hakika njia iliobaki kipindi waasisi wenu wanaijenga imani yenu na kuisambaza ilikuwa ni force na intimidation. Kipindi Muhamad anaanzisha imani yenu aliwahakikishia imani nyingine za uyahudi na...
  10. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” halina lengo la kukandamiza upande wowote

    Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’. Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
  11. Webabu

    Vita Gaza kusimamishwa muda wowote

    Kwa mujibu wa televisheni ya Aljazeera ni kuwa upatanishi unaoendelea nchini Qattar uko katika hatua za mwisho kukamilika ili vita visimamishwe kwa haraka muda wowote kuanzia sasa. Ijapokuwa mwanzoni Israel ilionekana isingeweza kabisa kusitisha vita kutokana na hasira za mashambulizi ya Hamas...
  12. MK254

    Israel yaagiza watu waondoke Sderot huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote

    Operesheni bado iko pale pale.... ======= The evacuation of residents from the Gaza border town of Sderot is set to begin in the coming hours. The municipality emphasizes that evacuation is not mandatory, but that it recommends residents leave the area. Residents are being moved to hotels in...
  13. M

    Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  14. U

    Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  15. DR HAYA LAND

    Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  16. matunduizi

    Kama huna mchango wowote kwenye jamii inayokuzunguka, unakosa maana ya kuishi

    Kila mtu ndani yake ameumbwa na kitu ambacho mwenzake hana. Hii ndio sababu pekee kwa nini tumeumbwa tofauti na sio watu wenye ufahamu na akili za kufanana kama bata. Lazima uwe na kitu cha kuchangia katika jamii. Ukiachia wengine hilo jukumu na ukabaki kuwa mnufaika wa michango ya wengine...
  17. mdukuzi

    Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  18. Teslarati

    Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  19. Y

    Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts

    Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania. Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts za moja kwa moja kwa taifa ...
  20. Venus Star

    Je, Kuna mpango wowote wa kuibadilisha Dar es salaam kuwa New City?

    UTANGULIZI Kwa sasa dunia inabadilika sana, kila nchi inaweka mipango ya kuibadili miji mikokwe na kuwa miji ya kisasa. Kwa upande wa Dar es salaam, mji huu umekuwa ni wa zamani zana lakini miundombinu iliyo mingi bado ni ya kizamani kama mji ulivyo. Tukianza na mfumo wa maji taka, tangu mji...
Back
Top Bottom