Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Hakuna usaliti wowote uliofanyika, sababu kumuahidi mtu nafasi ya urais baada ya kiongozi aliyepo madarakani ni suala linaloibua maswali kuhusu uadilifu na utawala bora. KIla mtu ana haki ya kuwa Rais kama alivyoteuliwa mwingine badala ya yule aliyepewa ahadi. Hivyo sio jambo la kuwekeana bifu...
Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote"
Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu.
Huo umeme, maji kwetu hauna umuhimu wowote kazi zetu wala hata hazihitaji kabisa matumizi ya umeme wala maji...
Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi.
Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo.
Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi?
JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
Wanaukumbi.
Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu.
Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.
Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na...
Kuelekea AFCON 2024.
Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).
Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.
Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland
Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili
Waliowapokea...
JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
Fikiria kidogo na namna dunia ilivyo na namna unavyoiishi.
Ni kama (VIDEOGAME) isiyo na maana wala uhalisia wowote katika maisha halisi.
Hauwezi nielewa kama wewe ni mtu usiyependa ishughulisha akili yako katika vitu uvionavyo.
Kama wewe ni mtu unayeangalia (BRITAIN'S GOT TALET) na unaamini...
Salaam ,shalom!!
Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk.
Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo...
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya...
Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi )
Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.