Wazee wa madikodiko kwema?
Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?
Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo.
Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...